win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,849
- 30,011
najiandaa kupita hiyo mitaa mwanetu 🙂Siku wewe ukipita mitaa yangu nitafuata huu ushauri.
najiandaa kupita hiyo mitaa mwanetu 🙂Siku wewe ukipita mitaa yangu nitafuata huu ushauri.
sababu🙄🙄🙄Nimeanza kushindwa kupumua bila wewe , mama mchunga
View attachment 3630636
Hakuna wa kuwanunulia pemba mjue!?sio issue😅
Bei imepanda kama mafuta ya Hormuz.🤣🤣🤣🤣usiwatishe bwana kwan bei gani
Niliacha wazi akaingia😂,Ndio shemeji nini! Tutambulishane shoo🌚
😁😁😁😁🚶♀️🚶♀️Nikafikiri ni mtoto mzuri wa kizenji kumbe ndio wewe chief?
Haya.Acha lango wazi,miji/chorii kapeto iko nachunglia dani yake!hakuna linaloshindikana kwa soul mate wa aina hiyo endapo itatokea kaa kwa kutulia
Mimi nimetoa ushauri kuhusu milango.Kazi kwenu.wew ni fake 🤣
wenye kazi yao wapo wametulia
Umeanza lini? na ulisema tuchinjwe!Wala mimi sijali. Nakupenda hivyo ulivyo tu.
Na hao mimba zao zinaingiaga chap kwa haraka!Niliacha wazi akaingia😂,
🤣🤣🤣🤣🤣,nimechekaNa hao mimba zao zinaingiaga chap kwa haraka!