Mliopo single chukua hii

Mliopo single chukua hii

Kukuwa singo siyo mbofu mazee. Kitu chenye naona si muzuri ni kuwa na manzi ambaye ako na makebo madogo kukuzidi.

Imagine makebo ya manzi yako ni kama ya yule sister ambaye ako USA. I mean, Kimambi.
 
Nimeanza kushindwa kupumua bila wewe , mama mchunga
Screenshot_2026-07-14_173131.jpg
 
Unajikuta uko mpenzi wako kila muda anakwambia baby nitumie picha yako kumbe jizi linataka kujua nguo zako zote lije liibe
Lala mlango wazi kama hujajikuta umeibiwa na wew mwenyewe
 
Kukuwa singo siyo mbofu mazee. Kitu chenye naona si muzuri ni kuwa na manzi ambaye ako na makebo madogo kukuzidi.

Imagine makebo ya manzi yako ni kama ya yule sister ambaye ako USA. I mean, Kimambi.
Mkuu tengua kauli vinginevyo naripoti kwa mode kwa kudharirisha neno "makebo" yule kimambi hana makebo bali ni ana vishikio vilivyoficha mifupa ya maungio kati ya miguu na kiwiliwili.
Neno makebo hutumika kama kivumishi cha sifa kwa mwanamke aliyefungasha mafurushi mawili ya nyama zinazoruhusu kunesanesa na kunyumbulika pindi atembeapo au awapo kwenye mikito kunako 6×6.
 
Mkuu nimetengua kauli. Si unajua kiswahili chetu wake ya hakijaa mahali inafaa.

Sasa nimeelewa mtu akisema makebo anamaanisha matako makubwa sana.
 
Back
Top Bottom