Mliopo kwenye ndoa !!

Mliopo kwenye ndoa !!

Challenge mojawapo ni kutofautiana kwa mood za sex,huyu anajisikia Mara huyu hajisikii,wanawake Mara nyingi visingizio kibao Mara tumbo linauna,kesho nimechoka,sijisikii,cha msingi ni uvumilivu tu
Yeah kuvumiliana tuuukwakila hali
 
0abb535ad5293bd3d9296a46ee6f7ec5.jpg
 
Hey mambo;!!
Hivi mnakumbana na kero zipi kwenye ndoa?
Je unapenda kulala kitanda kimoja kila siku na mmeo?

Kwanini kusiwe na vitanda viwili chumbani ili kuna muda au siku nyingine kila mtu alale mwenyewe?
Mnawezaje kuishi wote kwa muda mrefu maana kuna muda unatakiwa uwe na marafiki zako
ndugu wa mume /mke unakabiliana nao vipi ?

Mi naona kama ndoa ni ngumu hiviii halaf unakuwa haupo huru
Hebu tupeni mawili matatu ili nasi tushawishike japo tunuse ndoa maana naona kuishi mwenyewe ni raha unajiamulia unavyotaka au sio
Wewe huna babu na bibi, baba mama, au shangazi na mjomba wa kuwauliza maswali hayo? Mimi naona hapa utapata majibu mchanganyiko na utaishia kuchanganyikiwa tu.

Vv
 
Unamdanganya mwenzio baada ya wewe mwenyewe kudanganyika.

Baada ya kudanganywa sana na kudanganyika ndio umefikia hitimisho hilo!....ni sawa na kusema, sizitaki mbichi hizi.

Vv
Kunywa maji mwanangu .......
Sio kila unachoona hapa ukichukulie serious
 
Back
Top Bottom