Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,981
- 4,116
- Thread starter
- #41
Mimi nafikiri huko wanafundshwa ukakamavu tu ila uzalendo hapana ni uongo kabisa.
Hebu fikiria haya majizi na mafisadi mbona sio wazalendo na wamepita huko miaka hiyo?
Uzalendo ufundishwe Kuanzia shule ya msingi, hauwezi mfundisha uzalendo mtu mzima tena kwa miezi michache tu.