Mliopita JKT tunaomba mtupe ushuhuda

Mliopita JKT tunaomba mtupe ushuhuda

Wao wangefanya assessment ya hao walopitia jeshi na wasiopitia,

Unakuta wengi wa makamanda wana infiriority complex, wanaact kama robot kwa kigezo cha kutii amri.

Nasemaje nasemaje

Yoyote anaenihusu ambae ni wakike kamaliza form 6, jeshini haendi.
 
Asubuhi chai maziwa mkate na yai au karanga, mchana ugali mkubwa na nyama, jioni wali maharage na chai ya rangi, sasa hapo unyanyasaji unatoka wapi.
Kikubwa ni kunywa maji mengi mpaka roho ielee, maana hiyo menu utailipia ni mwendo wa tizi tizi na kazi kazi haina kukata mauno.
Week tatu nne za mwanzo zinakuwaga ngumu unaweza torokea porini, ila baada ya hapo ukisha zoea asee ni patamu sana mpaka inafika siku ya kuondoka unatamani kulia, na lazima utapamisi sana
 
Fafanua kiundani kidogo mkuu
 
Nimejifunza mengi ambayo sikuweka kwenye reply yangu nimejifunza ukakamavu uzalendo japo nchi inapigwa sana nimejifunza kuwa mvumilivu lakini pia nimeweka connection na wanangu ambao leo wapo sehemu tofauti usalama jw magereza polisi yaani sehemu kibao na wananisave kulingana na kazi zangu. Ya kujifunza ni mengi na faida zipo kibao huwezi linganisha mtu aliepita jkt na ambae hajapita.
Mm napata shaka mtu akiniambia amejifunza uzalendo!Kweli uzalendo utajifunza Kwa kwenda kufanya mazoezi ?au kuhubiliwa maneno?

Haya tuache hayo malalamiko yapo Kwa mabinti wa kike kufanyiwa mambo ya udhalilishaji je haya hawafanyiwi au ndio mmejifunza uzalendo wa kuficha ufedhuli huu?

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Hakuna cha uzalendo wowote, majizi yote ya Ccm yamepitia JKT kwa mujibu wa sheria huko nyuma.
 
Asubuhi chai maziwa mkate na yai au karanga, mchana ugali mkubwa na nyama, jioni wali maharage na chai ya rangi, sasa hapo unyanyasaji unatoka wapi.
Kikubwa ni kunywa maji mengi mpaka roho ielee, maana hiyo menu utailipia ni mwendo wa tizi tizi na kazi kazi haina kukata mauno.
Week tatu nne za mwanzo zinakuwaga ngumu unaweza torokea porini, ila baada ya hapo ukisha zoea asee ni patamu sana mpaka inafika siku ya kuondoka unatamani kulia, na lazima utapamisi sana
Waliosema unyanyasaji hawazungumzii aina ya chakula ,kunazungumzwa mambo kama kulazisha mabinti kufanya ngono na maofisa mabaladhuli

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Mm napata shaka mtu akiniambia amejifunza uzalendo!Kweli uzalendo utajifunza Kwa kwenda kufanya mazoezi ?au kuhubiliwa maneno?

Haya tuache hayo malalamiko yapo Kwa mabinti wa kike kufanyiwa mambo ya udhalilishaji je haya hawafanyiwi au ndio mmejifunza uzalendo wa kuficha ufedhuli huu?

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
Ile ni starehe hakuna anaefanyiwa ufedhuli madem nao wanapenda kunyanduliwa. Kama wanaonewa wakafungue mashtaka. Na ukishalita jkt kuna mambo kama ulizingatia huku mtaani unaona kawaida sasa dem kuliwa ni udhalilishaji? Mwanamke kazi yake ni kunyanduliwa inaeleweka toka kuubwa kwa dunia
 
Kwa hiyo ikitokea wewe uwe na Binti Yako anyanduliwe bila ridhaa yake we kwako sawa tu ?

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Waliosema unyanyasaji hawazungumzii aina ya chakula ,kunazungumzwa mambo kama kulazisha mabinti kufanya ngono na maofisa mabaladhuli

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
Kama binti ni mzembe wa kazi, mpenda vitonga atajirahisisha mwenyewe ili apate unafuu, ila mabinti strong wanapiga mzigo tu fresh na wanakomaa na misimamo,
Hiyo kitu kwa wapenda vitonga mpaka chuo mbona wanalalwa sana basi na chuo wasiende
 
Back
Top Bottom