Mliopita JKT tunaomba mtupe ushuhuda

Mliopita JKT tunaomba mtupe ushuhuda

Well hilo ni jeshi aint no time for clubbing
okay...Kama mmelewa hivyo sawam

Kuna mazingira ya kiboreshwa ( simaanishi luxury ). Itafikia kipindi vijana wenyewe wanakimbilia huko.. ukiwapo ujuzi wa teknolojia ya juuu ect... Sasa hivi hayo maeneo vijana wanaenda kama kutupa karata zao zao za mwisho tu..
 
Well hilo ni jeshi aint no time for clubbing
tuna vijana wengi sana wanatoka JKT, wamekuwa sio wenye kuvutia kwa vijana wengine ( wengi wao ) kutamani kwenda huko, kuanzia misoto kitaaa, hawana maarifa ( vitu vipya ).. wanabaki kuwa na faida ya vyeti vya kushiriki mafunzo na zinapotokea kazi za taasisi za ki usalama , ambazo wengi wa vijana huwa wanatupa karata zao za mwisho pale hawana namna ingine ya kupata ajira nzuri. JKT inaweza kuwa bora sana na kutoa watu walio bora kama wataboresha mafunzo yao.. tupate vijana waliobobea na kupikea katika nyanja mbali mbali ambao wanaweza kuwa vivutio kwa wengine kupata walichopata wengine, lakini sasa hivi wanaona kama kupoteza mda tu .. na jibu linaweza kuwa ndio ama sio
 
In what base, basically unachosema ni jkt waongeze uwanda wa elimu wanazotoa, yes ni kweli? But nini itakuwa kazi ya chuo
 
Tena hii hii Ruvu JKT ndipo dogo alikuwa amepangiwa hapo! Hebu lete ABC za hapo mkuu. Ila kijana ana shida ya mgongo sasa na mimi imebidi nimhurumie tu! Nilitamani sana aende lakini kwa hiyo shida naogopa!
RUVU JKT si ndo kambi inayopokea wanafunzi wenye matatizo na makundi maalumu.
 
Still bado hujajibu swali langu, you want jkt kuongeza uwanja wa mafunzi yao, waongeze nini?
Sikujibu moja kwa mojaz nitakuuliza swali, then kutokea hapo itakuwa rahisi sana kuelewana. Dhumuni kubwa la JKT ni lipi ? vijana wanapelekwa JKT kwa malengo makuu yepi ?
 
Jeshi Raha sana jeshi linakujenga unakuwa mzalendo mtiifu na kuwa tayari Kupambana na chochote Kwa ajili ya nchi Yako ..

Nilipota JKT OP kilimo kwanza ..sijawahi kujuta kwenda JKT ..JKT imenipa maisha Bora .
 
Shule za jeshi na tetesi za ushoga
 
Sijui kwa Sasa. Ila enzi hizo jeshi lilikua gumu..
Kulala chini
Hakuna maji
Karnyekarnye kwa Sana
Uovunevu zaidi
Op Nidhamu
Msange
1986
 
Kama ni mtoto wa kike halafu mzuri mzuri au ana figure au hata wakawaida tu maana kila mlaji na macho yake, MSHAURI ASIKUBALI KUTOA MZIGO BILA CONDOM, maana kuliwa najua lazima ataliwa tu, siku hz bikra nyingi zinatolewa kule kabla ya chuo,

Anaweza rudi na Vyeti viwili, Cha Mafunzo na cha CTC

Inauma sana nikiwa kama mzazi na mtu niliyepita huko,
Ila wa kiume hamna shida yoyote, japo sijui miaka hivi ya karibuni hali ikoje
 
Ukienda na bikra na urudi nayo niite dog
kule kunyakua bikira itabakije wewe? kaangalie wanawake waendesha baiskeli wote wenye umri wa miaka16 kama wanazo.Pia niongezee bikira sio kipimo cha uadilifu labda miaka bibi yangu alivyokuwa msichana mwaka 1920
 
Mwanangu(mtoto wa dada yangu) alikwenda jeshini baada ya kumaliza kidato cha sita.Alivyorudi alirudi na zawadi ya mimba sijui alidanganywa na nini kwa yule jamaa mwenye cheo cha Luteni.
Kwa ujinga wake alimuona bonge moja la fogo na atamfanya apete jeshini kiulani.
Huyo afande hajamuoa kamuoa mwanamke mwingine
Hata hivyo simlaumu afande naye ni binadamu kama wengine unategemea nini fisi unampitishia mfupa machoni.
Mwanangu hata hivyo amekaa mkao wa maharage ya Mbeya kuiva haraka
Anajuta hadi leo.
Mimi nimepitia JKT mwaka 1986 JKT ya sasa ni waadilifu mno msiwatupie lawama watoto wetu ni moja ya chanzo kupenda miteremko
 
Naomba nitoe ushuhuda kidogo,

Kuna dogo wa kike sikusoma nae ila tulikutana huko, alikua kadogo dogo ila kazuri ka sura na rangi na kakishua sana(ushua nilikuja kuujua tulipofika chuo)

Sasa kazi nyingi ngumu zilikua zinamshinda japo alikua na morali na anapambana haswa, tumekaa kama mwezi kuna wakati akapotea pale kombania kama siku mbili hivi

Kwakua mm nilikua rafiki yake ikabidi nimuulize rafiki yake mwingine wa kike kua fulani mbona sijamuona kama siku mbili hv, aisee alichonijibu kiliniacha mdomo wazi na nilisikitika sana,
Akaniambia unamjua afande fulani, nikasema ndiyo, akaniambia alikuaga anamtaka dogo na kumtisha kumpa doso akikataa, si unakumbuka kuna wakati tulikua tukipewa utawala dogo anabaki nyuma kidogo, ndo alikua anamtongoza na kumuahidi kua atakua anahakikisha dogo anapunguziwa majukumu, basi msoto ulipokua mkali hasa zile wiki sita za mwanzo naona dogo akajaa,

Na zile siku mbili ambazo hawakuwepo jamaa alimchukua akapeleka gheto kakuta demu bikra kapiga sana dogo karudi yuko hoi, anableed tu, kwahiyo yuko ndani kalala tu, jamaa kamletea antibiotics na ilibidi usiku ule ampeleke pale dispensary ya kambini akapigwa drip tatu za maji,

Baadae dogo mwenyewe alikuja kuniambia kua ni kweli, na anatamani kujimaliza maana amekua ni kujuta kila siku,

baadae tumepangiwa chuo kimoja dogo akawa wakati mwingine analia tu mwenyewe na kudai lile tukio lilimwachia kumbukumbu mbaya sana maana siku hiyo waliopolewa wawili na hao jamaa wawili, ila mwenzake ambae yupo chuo tofauti yeye alivyoanza chuo kwenye ile miezi ya mwanzo alianza kuugua ugua homa haziishi, kwenda kuchek akakuta tayar kaukwaa, kwa sasa ni marehemu(Mwenyezi Mungu ailaze roho ya C*****y mahala pema peponi )

Ni miaka mingi imepita, lakini namimi ile kitu imeniacha na kumbukumbu mbaya sana, hasa nikimuona au kuwasiliana na yule dada, na nikimkumbuka na marehemu pia

Sisemi kule ni kubaya maana hata mm nilipita lakini kuna wachache wanawageuza madogo wa kike kama kifuta jasho,
 
🙆 Ooooh Christ! My young sister ain't going to attend any military shit 🤔 . Juzi dogo kahitimu na yeye mwenyewe ukimwuliza habari za kwenda huko hayako kusikia. Msemaji wa watoa mafunzo kauhadaa umma kwa jambo lililo wazi kabisa.
 
Ninanukuu " . . . JKT imesema taarifa hizo ni uzushi kwani mafunzo hayo ni muhimu sana kwa ustawi wa Vijana na Taifa kwa ujumla . . . " Mwisho wa kunukuu.

Hapo hakuna hoja ya kuonyesha taarifa ni za uzushi. Hapo ni anamaanisha umuhimu wa mafunzo unahalalisha huo udhalilishaji kwa watoto wa kike
 
Back
Top Bottom