Mlioolewa ni nini kiliwaliza siku ya harusi?

Mlioolewa ni nini kiliwaliza siku ya harusi?

Jamani mtutendee Haki na baadhi yetu Sie.
Lipo Li-Dume nimeshuhudia likimwaga Mchozi siku ya Vigeregere hapo napo Vipi?
 
Sijapita huko mkuu, ndiyo maana ninauliza hao waliovaa shela ni nini kiliwaliza?
kama ulikuwa hujui kuhusu kile kilio basi utambue kuwa yale ni machozi ya furaha it means hakutegemea maishani mwake kama angekuja kuolewa
 
Mimi bado, hapa ndiyo ninataka kujua mlioonja chereko chereko chozi lilisababishwa na nini?
Hata mimi bado, ila sidhani kama nitalia, mie mgumu kulia jamani chaaah!!!
 
Ama anawaza yale mambo ya mashosti na kula bata ndo kushnehi..! Labda pia ni furaha koz ni tendo la bahati na rehema
 
Anawaza kipenzi chake cha moyo wake aliekiacha na kwenda kuolewa na hilo jamaa ili mradi atoe nuksi tu..ndio michozi hutoka mana ndio basi tena
 
Kwa wale waliobahatika chereko chereko, ni nini kiliwatoa machozi siku ya harusi. Miaka hiyo mama zetu walilia kwakuwa waliolewa wakiwa wadogo, miaka 18,19, 20 mtu wa 21 au 22 alionekana amebaki kwenye shelf.

Sasa unamkuta dada wa 35 anaolewa, anatoa machozi siku ya harusi. Hapa bado sijaelewa, kuwa ni emotions kuwa hakutegemea, anawaacha wazazi au anaogopa haki ya ndoa?
wewe huja.olewa mkuu?
 
Unakuta mtu kama Sepenga keshapita kwa mabwana wasio na idadi halafu siku ya kuolewa anatoa michozi.,....................Wanawake na maigizo ni pacha.
 
nilishawai kuuliza aliyelia siku anaolewa akaniambia ni FASHION tu kama Vile walokole wakisali kwa makelele au kunena kwa lugha
 
Back
Top Bottom