Mama yako ametingwa na nini?Vyombo jamani mwee
Haha yupo busy na maandalizi ya "hapi sabidei". Hamjaonana?Mama yako ametingwa na nini?
Hatujaonana..Ngoja nimtafuteHaha yupo busy na maandalizi ya "hapi sabidei". Hamjaonana?
wewe hautalia?Sijapitia anameremeta mkuu sina mengi ya kueleza.
Utakuwa unaogopa tu kulala uchi!Kuwaacha na kutokua huru na familia yenu kama ulivozoea awali
Haha kumbeVyombo jamani mwee
Mtu akiokewa wakat kashaingia miaka 30 huwa simpi zawadiTena usipoleta zawadi wewe.
No way...u cnt be wit a bf for years n make ur case exceptionalMy case is exceptional and for that reason I deserve a present.
The seal dsnt last that longI have been mother Theresa sir, with a seal to be opened on the day.
Kwa wale waliobahatika chereko chereko, ni nini kiliwatoa machozi siku ya harusi. Miaka hiyo mama zetu walilia kwakuwa waliolewa wakiwa wadogo, miaka 18,19, 20 mtu wa 21 au 22 alionekana amebaki kwenye shelf.
Sasa unamkuta dada wa 35 anaolewa, anatoa machozi siku ya harusi. Hapa bado sijaelewa, kuwa ni emotions kuwa hakutegemea, anawaacha wazazi au anaogopa haki ya ndoa?
Umeua mkuu.
Lala upesiHahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mdada wa miaka 35 anatoa machozi
Mi nadhani ni ile hali ya uhalisia kuwa haamini kama anaolewa kabla ya kufika menopause [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]