Mliooa mtupe mrejesho sisi mabachela

Huu uzi maalum kwa wale waliooa; tunataka kujua faida mnazozipata baada ya kuoa au tuseme ni kitu gani mnaweza tushawishi sisi ambao hatujaoa tuchukue hatua kama nyinyi, hebu mtupe faida mnazozipata baada ya kuoa ambazo sisi mabachela hatuzipati.
ukitaka mambo yaende sawa ,kuwa dictator, pokea ushauri kidogo sana. ukiruhusu demokrasia umekwisha
usije kujaribu kwa mazingira yoyote yale ukaomba msamaha. wewe ni mtawala- Utawala tumepewa na Mungu
Inahitajika akili kuishi na mwanamke,kama akili huna usioe

REFERENCES:

Mwa 3:16​

Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

1 Petro 3:7​

Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; maana wao pia ni warithi wa neema ya uzima, ili maombi yenu yasizuiliwe na chochote.
 
Mkuu nakusihi usioe kwa sasa,,

Ndoa ni vurugu tupu,
Waliooana wanataka kutoka na walioko nje nao wanataka kuingia ndani ya ndoa.

Kwa kifupi Ndoa ni uwanja wa fujo.
 
Mkuu nakusihi usioe kwa sasa,,

Ndoa ni vurugu tupu,
Waliooana wanataka kutoka na walioko nje nao wanataka kuingia ndani ya ndoa.

Kwa kifupi Ndoa ni uwanja wa fujo.
[emoji3] nacheka sana
 
Huu uzi maalum kwa wale waliooa; tunataka kujua faida mnazozipata baada ya kuoa au tuseme ni kitu gani mnaweza tushawishi sisi ambao hatujaoa tuchukue hatua kama nyinyi, hebu mtupe faida mnazozipata baada ya kuoa ambazo sisi mabachela hatuzipati.
Kwa kifupi NDOA NI TAMU saaana imagine kulala na mtu unayempenda Kila siku, imagine upate mwanamke msafi sasa, nyumba safi, ana Upendo, dah ambao hamjaoa mnakosa mengi.

Ile kununiwa ndio Chachandu yenyewe sasa, ewaaa mmelala na katoto kenu kachanga! Sometimes mnasaidiana kazi za hapa na pale, mnapiga story mbili tatu, una mtu wa kukuuliza na kukumbusha usichelewe Kurudi upumzike.....dah ndoa tamu sana vijana..

Ila sasa, jitahidi kuwa mtafutaji. Ukitaka nyumba iwe safi nawe pia uwe msafi, ukatafute ulete, Kijana, jukumu la kulea nyumba Yako ni LAKO na kamwe haliwezi kuwa shared.

Ukijisahau tu Ukamuachia Mkeo JUKUMU la kulisha nyumba Yako on that day My Son......dah utajutia ndoa
 
Huna mke Wewe, trust me! Huna mke
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niko mkoani namisigi sana kulala ma kibinti changu full kukurukia mgongoni, mara mguu kichwani mara ukute kalala mgongoni yaani raha sana aisee
 
Niko mkoani namisigi sana kulala ma kibinti changu full kukurukia mgongoni, mara mguu kichwani mara ukute kalala mgongoni yaani raha sana aisee
Asante sana kunielewa Ndugu. Sema haiwezekani tu kutuma picha ila it's so sweet, Mimi akiamka ananivuta masikio na macho Ili niamke tucheze kidogo
 
somo limeeleweka mtumishi[emoji120][emoji1666]
 
Mkuu nakusihi usioe kwa sasa,,

Ndoa ni vurugu tupu,
Waliooana wanataka kutoka na walioko nje nao wanataka kuingia ndani ya ndoa.

Kwa kifupi Ndoa ni uwanja wa fujo.
Kwaiyo mkuu unanishauri niongeze mitano tena[emoji16]
 
hii imekaa sawa sana mkuu..... naunga mkono hoja[emoji109]
 
Cha muhimu uwe na sifa zako za muhimu mke awe nazo kisha zizingatie kabla hujafanya maamuzi ya kuoa. Mfano sifa kuu za mke ni hizi;
*Chagua Dem ambaye ni rafiki yako mnaofanana baadhi ya Hobby
*Awe mcha Mungu na awe wa dini inayofanana na yako.

Sifa nyingine zinategemeana na matakwa yako binafsi kulingana na elimu yako na kazi yako.
Faida za kuoa:
* Wewe na mkeo mtaheshimika mtaani na hata kwenye jamii.
- Kuna baadhi ya vyeo huwa anachaguliwa aliyeoa tu. (eg Mzee wa Kanisa/ Balozi wa mtaa)
*Utatengeneza kizazi chenye maadili mema maana matendo mengi yafanywayo na wazazi huja kujirudia kwa watoto wako
* Ukioa utakuwa na Kitambi, maana utakuwa unapikiwa vinono uvitakavyo. Tofauti na wasiooa huwa wanakula chips na kwenda kulala.
*Wewe ukiwa huna michepuko na mkeo nae akiwa mtulivu asiye na mapepe unakuwa tayari umeshapata dawa ya kutoambukizwa ukimwi.
 
umetisha mikuu[emoji109] nimeielewa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…