Mliooa mtupe mrejesho sisi mabachela

Na haya ni machache tu[emoji3][emoji3]. La sivyo ungejaza page nzima[emoji1]
 
Walio oa hawasemagi ukweli.Wanawambia vitu vya kuvutia ambao hawajaoa kusudi waingie na wao washuhudie wenyewe Kwa macho yaoo[emoji38]. Lakini behind the scene ni[emoji91][emoji91]
Mawazo yako, akili zako, sasa mi ni nani haswa hadi nipingane na ulichoandika hapa [emoji848][emoji16]
 
aaah' nataka nipate mawili matatu kwanza kwa hao walioa nione tofauti ni nn
Ndoa mwanzonii unajiuliza Kwanini ulichelewa kuoa,Lakini Siku zinavyo zidi kwendaa.Vitimbwi ndo vinaanza .

Ndo kale ka msemo "Ndoa ni uvumilivu"kana anza kufanya kazi.

Kadiri Siku zinavyo zidi kusogea kale ka msemo ka" Ndoa ni geraza la kujitakia" ndo una anza kukaelewa.

Badaee mshapata watoto una anza kusema "Watoto tu ndo wanafanya niwe kwenye ndoa" mbali na hapo,ninge tembea.

Baadae tena una anza kujiuliza" Hivi Kwanini nilioa? Una laod,una kosa sababu then unaendelea kulisongesha life.


[emoji1] Eti Wewe Kwanini unataka kuoa?
 
Wewe kama mimi tu..ebu tushauriane katika hayo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…