Mkuu hujui kuwa mke ni zaidi ya ndugu kwako, kwanini unahesabu zaidi mali, Mbona ukioa mke anakukabidhi maisha yake. Nahisi maisha ya mke na muda wake vina thamani kuliko mali unazozitaja.
acha ubinafsi wewe, mwanamke kwani hana uhuru wake atakaoutoa kwako? kwanza unaweza kuja kuoa mwanamke akakuzidi kila kitu mali,pesa,elimu,uzuri na akili yaani unamkuta mwanamke yuko vizuri kukushinda