Nawe Weekend njema Msichana MremboMungu akujalie na wewe uoe, Jumapili njema
Ni kweli mkuu, shost yangu alikutana na jamaa mwenye watoto, aliishi na baby mother 4 five years bila ndoa. Amekutana na shost yuko tayari kuoa.Kuoa ni mpango wa Mungu na huwa unakuja automatically hautalazimishwa na mtu ukiona unasita kufanya maamuzi ya kuoa jua Mungu bado hajapanga
Ndoa huwezi kuforce hata siku mojaNi kweli mkuu, shost yangu alikutana na jamaa mwenye watoto, aliishi na baby mother 4 five years bila ndoa. Amekutana na shost yuko tayari kuoa.
huyu inatakiwa apigwe kitu cha mkeka.Mungu akujalie na wewe uoe, Jumapili njema
Rrondo wapi nimesema mkeo ni ndugu yako, nimesema ni zaidi ya ndugu yako!Mkeo sio ndugu yako.