Baba ni mtu wa hizo mishe Kuna kipindi alikaa sana huko nikaenda kumtafuta asee Hali ya huko ni balaa nilitaka kuliaNa kazi ngumu, kuna clip nimeona wanasema sometime hata kula ni ya shida
Msamehe Bure hajui Ali nenaloshow za migodini sio za kutuma mtoto legelege labda uwe umelamba kitengo
Kama hujajipata kimaisha kuna mtihani mkubwa kuoa, ni wanawake wachache wanaweza kukuvumilia hadi ujipate.Wakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana 3yrs natumiwa picha tu japo nimerandisha kidogo hivyo nimepigwa limit na wazaz wa msichana kwa sababu flan flan hii sio story ya leo) .
Sasa sijawahi kuoa, ila nimejishikiza kataasisi flani cha binafsi posho ya mwezi mkia wa mbuzi kiasi kwamba wiki mbili tu hali inaanza kuwa taabani, hatari ni kwamba baada ya kuianza 30 tu mambo yamekuwa magumu sana kwangu tofauti na plan na matarajio yangu, sasa muda huu ghafla nikiwa nimejipumzikia muda huu nimejikuta nawaza hali yangu na kuanza kufikiri kwa vipi wale wenye mishahara ya 150,200,300 mnaishije na hawo wanawake wengine na watoto kabisa wakati mi nipo alone sina majukumu heavy halafu pesa HAITOBOI?
Hebu nipeni code mnafanyaje wazee ukizingatia napata malawama na mashinikizo toka kwa ndugu, wazazi na jamaa kuwa nioe umri ndo huuuuu oya....
Halafu baadae atapewa nini in return?Kutunziana siri tu
Nyama tu kufuta ushahidiHakafu baadae atapewa nini in return?
Nikajua short timeNyama tu kufuta ushahidi
Nimeona wachimbaj wa chunya mtandaon wanalalamika, oya sio kwa jua na ukame ule afu hakuna wanawakeBaba ni mtu wa hizo mishe Kuna kipindi alikaa sana huko nikaenda kumtafuta asee Hali ya huko ni balaa nilitaka kulia
Hakunaga kesho jomba maisha ni leoUnatupoteza taifa la kesho 🤠
Yale mashimo ukichungulia huoni kitu gizaa tupu, alafu unaambiwa Kuna watu huko chiniNimeona wachimbaj wa chunya mtandaon wanalalamika, oya sio kwa jua na ukame ule afu hakuna wanawake
Ndo apewe mbwa kweliNikajua short time
Mkuu kula maisha kwanza; usiwaze kukimbilia matatizo. Umri wa miaka 30 bado ni mdogo sana kukimbilia ndoa. Ukitaka uishi maisha marefu, fikiria kuoa utakapofika miaka 40+ . Fuata huu ushauri wangu, utakuja kunishukuru baadaye.Wakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana 3yrs natumiwa picha tu japo nimerandisha kidogo hivyo nimepigwa limit na wazaz wa msichana kwa sababu flan flan hii sio story ya leo) .
Sasa sijawahi kuoa, ila nimejishikiza kataasisi flani cha binafsi posho ya mwezi mkia wa mbuzi kiasi kwamba wiki mbili tu hali inaanza kuwa taabani, hatari ni kwamba baada ya kuianza 30 tu mambo yamekuwa magumu sana kwangu tofauti na plan na matarajio yangu, sasa muda huu ghafla nikiwa nimejipumzikia muda huu nimejikuta nawaza hali yangu na kuanza kufikiri kwa vipi wale wenye mishahara ya 150,200,300 mnaishije na hawo wanawake wengine na watoto kabisa wakati mi nipo alone sina majukumu heavy halafu pesa HAITOBOI?
Hebu nipeni code mnafanyaje wazee ukizingatia napata malawama na mashinikizo toka kwa ndugu, wazazi na jamaa kuwa nioe umri ndo huuuuu oya....
Hapana ,sijasema.Unamanisha waache kusoma wakaolewe?
Lakini Haika umri ulikuwa umesogea kidogo, maana alisoma chuo cha kwanza akadisco akiwa mwaka wa pili ndo akaenda kuanza chuo kingine ambapo ndo alipoolewa. Kwa ule muda ilikuwa sawa tu na mtu ambaye ashamaliza chuoHapana ,sijasema.
Haika Lawere na Magesa Phares walioana wakiwa wanafunzi.
Oh okay ,nimekupata ,nilijua aliolewa akiwa mwaka wa kwanza kumbe ni kama wa nne.Lakini Haika umri ulikuwa umesogea kidogo, maana alisoma chuo cha kwanza akadisco akiwa mwaka wa pili ndo akaenda kuanza chuo kingine ambapo ndo alipoolewa. Kwa ule muda ilikuwa sawa tu na mtu ambaye ashamaliza chuo
Yes,yes.Oh okay ,nimekupata ,nilijua aliolewa akiwa mwaka wa kwanza kumbe ni kama wa nne.
Wachana na pombe sasa 🤠Nimeokoka na nampenda pia❤️