Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Mkuu kula maisha kwanza; usiwaze kukimbilia matatizo. Umri wa miaka 30 bado ni mdogo sana kukimbilia ndoa. Ukitaka uishi maisha marefu, fikiria kuoa utakapofika miaka 40+ . Fuata huu ushauri wangu, utakuja kunishukuru baadaye.
Duh ko niwe nazalisha tuu nje sio
 
Mkoa uliopo ndo utakupa akili ya kutafuta zaidi, ukiwa baba wa familia jambo la kwanza ni kuhakikisha walioko chini yako wanaishi under your wings ,usiogope kuwa na mke kama unayemuoa ni mtu sahihi asiye na tamaa za material things.

Nina jamaa yangu yuko nje ya nchi ananiulizaga kila siku ninawezaje kupambana na maisha kwa kipato cha tz wakati yeye anakunja karibu euro 4000 na bado anaogopa kuoa
 
Usifosi we tafuta hela na uinjoi hela zako...... wanawake wote ni mbwa 😹
Kweli, atafute hela kwa ajili yake au labda na.huyo mtoto ambaye kwa maelezo yake amesema kapigwa japo karandisha.

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke narudia...

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke, narudia tena...

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke kwani hawaridhiki hawa viumbe

Ukishapata fedha na kumpa kila kitu anachopata anaanza na matamanio yake binafsi ambayo hayawezi kutatuliwa na fedha...

Jichanganye sasa uone...

Mm kuna mshangazi naupiga na mumewe ana kila kitu halafu me kiuchumi naunga tu, ukimuuliza anakwambia kuna vitu mumewe hana
 
Mkoa uliopo ndo utakupa akili ya kutafuta zaidi, ukiwa baba wa familia jambo la kwanza ni kuhakikisha walioko chini yako wanaishi under your wings ,usiogope kuwa na mke kama unayemuoa ni mtu sahihi asiye na tamaa za material things.

Nina jamaa yangu yuko nje ya nchi ananiulizaga kila siku ninawezaje kupambana na maisha kwa kipato cha tz wakati yeye anakunja karibu euro 4000 na bado anaogopa kuoa
Sawa mkuu
 
Kweli, atafute hela kwa ajili yake au labda na.huyo mtoto ambaye kwa maelezo yake amesema kapigwa japo karandisha.

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke narudia...

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke, narudia tena...

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke kwani hawaridhiki hawa viumbe

Ukishapata fedha na kumpa kila kitu anachopata anaanza na matamanio yake binafsi ambayo hayawezi kutatuliwa na fedha...

Jichanganye sasa uone...

Mm kuna mshangazi naupiga na mumewe ana kila kitu halafu me kiuchumi naunga tu, ukimuuliza anakwambia kuna vitu mumewe hana
wanawake washenz sn mkuu
 
1792303993671.jpeg
 
Back
Top Bottom