Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Kweli, atafute hela kwa ajili yake au labda na.huyo mtoto ambaye kwa maelezo yake amesema kapigwa japo karandisha.

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke narudia...

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke, narudia tena...

Usitafute hela kwa ajili ya mwanamke kwani hawaridhiki hawa viumbe

Ukishapata fedha na kumpa kila kitu anachopata anaanza na matamanio yake binafsi ambayo hayawezi kutatuliwa na fedha...

Jichanganye sasa uone...

Mm kuna mshangazi naupiga na mumewe ana kila kitu halafu me kiuchumi naunga tu, ukimuuliza anakwambia kuna vitu mumewe hana
Kurandisha ni nini?
 
Sasa kwani ulikuwa humkazi kabisa? Kama ulikuwa humkazi lazima aseme huna nguvu za kiume.
Nilikuwa namkaza mpaka anainyonya,sema nilikuwa namwaga nje akiwa siku za hatari ,ili nisubiri nikimuoa ndio azae mwingine
 
Ulimkuta na hali gani.
Mazingira ni pori sana hakuna huduma kama zahanati nk, mvua ikinyesha noma sana, shimo ni mchana lakini ukichungulia huoni kitu unaambiwa Kuna watu ndani, ndevu zilikua zimeita kawakama mihogo mchungu ilihali ni mtu wa kunyoa nakukaa smati, maji ya kunywa hayaeleweki, usafi zero, mtu anjisaidia haja kubwa popote.


Mpaka nikajiuliza hela hawa wanapelekaga wapi, in short wanao furahia maisha ya uchimbaji ni madon, hawa wachimbaji wa kawaida shida tupu, labda mifodi mikunwa kama GGM, ndio una relax
 
Back
Top Bottom