Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,135
- 9,157
Unyumba sio bid deal kwa sasa, k zimetapakaa kibao labda awe fala🤓 ndoa zinasumbua hata wenye nazo sasa wewe kapuku si unyumba utausikia redioni mkuu
Unyumba sio bid deal kwa sasa, k zimetapakaa kibao labda awe fala🤓 ndoa zinasumbua hata wenye nazo sasa wewe kapuku si unyumba utausikia redioni mkuu
Hao watoto wa elf mbili, wahuni wana chapa Bure, na hela mnazo wapa wanawapelekeaMoto anao,yaan watoto wa 2000 bila kuiona pesa na utelezi unakauka mkuu🤓
Umeonhea point kubwa mzeer shut out, mbona masikini wame oa? Nyie vijana Kuna mahala pesa Ina bamz sababu uwezo wetu aulingani, hivo jikubali chapa lapaHakuna ndoa au mahusiano perfect Duniani, Ukiona watu wanaishi vizuri jua kuna mmoja anamvumilia mwingine.
Kwahyo ni lazima mtu mmoja ajitoe akili au match au kubali mawazo, tabia na kila kitu cha mwingine ili mambo yaende hapo mta kufa na kuzikana
Unamanisha waache kusoma wakaolewe?Sure ,mafahali wawili hawakai zizi moja ,50/50 inaua sana ndoa kwasasa.
Kwa Mwanamme ukishafika 25 inabidi uwe ushaoa na wanawake 19 ,nje ya hapo ushachelewa!
Usha wahi kuishi migodini? Nani alie kwambia pesa njenje, mitandao is ku hadae au umechotwa na gsm wa katoro dokta, acha huko pasikie tu nimepitaZama migodini huko hela zipo nje nje, kikubwa ni kujichanganya na kukaza mtoto wa kiume, unavaa tai huku unalipwa laki mbili, huoni kama nguvu kazi inapotea bure
Tafuta connection..alafu ndoa isiiover rate sanaWakuu mimi ni bachela early 30 ndo naianza anza hivo, sijaoa, ila nnae mtoto wa kusingiziwa(nasema hivi kwa kuwa nilipewa taarifa tu kuwa nna mimba yako,nikakiona kichanga tu mpaka now mtoto ana 3yrs natumiwa picha tu japo nimerandisha kidogo hivyo nimepigwa limit na wazaz wa msichana kwa sababu flan flan hii sio story ya leo) .
Sasa sijawahi kuoa, ila nimejishikiza kataasisi flani cha binafsi posho ya mwezi mkia wa mbuzi kiasi kwamba wiki mbili tu hali inaanza kuwa taabani, hatari ni kwamba baada ya kuianza 30 tu mambo yamekuwa magumu sana kwangu tofauti na plan na matarajio yangu, sasa muda huu ghafla nikiwa nimejipumzikia muda huu nimejikuta nawaza hali yangu na kuanza kufikiri kwa vipi wale wenye mishahara ya 150,200,300 mnaishije na hawo wanawake wengine na watoto kabisa wakati mi nipo alone sina majukumu heavy halafu pesa HAITOBOI?
Hebu nipeni code mnafanyaje wazee ukizingatia napata malawama na mashinikizo toka kwa ndugu, wazazi na jamaa kuwa nioe umri ndo huuuuu oya....
Mbona umeongea maneno mengi as if unanijua? Migodini ni kwa wanaume wapambanaji na wanawake wa shoka wewe kama ulishindwa wenzio walikaza wakirudi plant sio wale tenaUsha wahi kuishi migodini? Nani alie kwambia pesa njenje, mitandao is ku hadae au umechotwa na gsm wa katoro dokta, acha huko pasikie tu nimepita
Stori za vijiweni hizo, ingekua hivo Kila alieenda mgodini ange kua tajiri dokta kule ni nyumbani nimezaliwa kna watu nawaona bado masikini mpaka leo bado wanasotaMbona umeongea maneno mengi as if unanijua? Migodini ni kwa wanaume wapambanaji na wanawake wa shoka wewe kama ulishindwa wenzio walikaza wakirudi plant sio wale tena
Dah sawa mkuu nitajaribuUkipokea pato lako ligawe katkati, nusu mwachie yeye,
Live mkuu nayo ni miongoni mwa kinachonimalizia hela nafikirBachelor anatumia gharama kubwa za maisha kuliko mwenye mke na watoto!
Utajikuta unakula junk food kwa pesa kibao kuliko ungepikiwa!
Sio kama nitajaribu kujibanabana mkuuNakupa ushauri wa kiutu uzima nikiwa kama mtu mzima!!
KAMA HAUKO FINANCIALLY STABLE ACHA HABARI ZA KUOA!!
Simaanishi kuwa uwe TAJIRI au uwe na mapesa mengi....bali ni ile ya kujimudu na kutatua changamoto zako za kimaisha za kila siku kama mwanadamu!!
Swali jepesi unalopaswa kujiliuza!!
Kama wewe mwenyewe elfu moja haikutoshi itawatoshaje watu wawili...!??
Zama migodini huko hela zipo nje nje, kikubwa ni kujichanganya na kukaza mtoto wa kiume, unavaa tai huku unalipwa laki mbili, huoni kama nguvu kazi inapotea buhataru
Kama 250 mkuuTake home yako ni kiasi gani?
Na kazi ngumu, kuna clip nimeona wanasema sometime hata kula ni ya shidaStori za vijiweni hizo, ingekua hivo Kila alieenda mgodini ange kua tajiri dokta kule ni nyumbani nimezaliwa kna watu nawaona bado masikini mpaka leo bado wanasota
Wewe una nini mpaka hapo ulipo,tuambie Mafanikio yako ili tujifunze kwako na umri wako piaEarly 30's
Huna mke
Huna mtoto
Huna maendeleo.
Pole.....miaka inaenda kwa kasi sana....think of you at 50's hali itakuwaje.
Jikatae...zama pori lolote jitese kwa miaka miwili then rudi town angalau na kakitu.
Heshima ya mtu ni pesa
Tabasamu la mtu ni pesa
Nguvu za kiume ni pesa.
Inshort pesa ndiyo mume wa dunia ya Leo..
Achana na comfort zones.
Fafanua kidogo mkuu, changamoto nn kuleUsha wahi kuishi migodini? Nani alie kwambia pesa njenje, mitandao is ku hadae au umechotwa na gsm wa katoro dokta, acha huko pasikie tu nimepita
Nimeogopa sana jamaa amecomment fasta sana as if yupo mbali kiuchumiWewe una nini mpaka hapo ulipo,tuambie Mafanikio yako ili tujifunze kwako na umri wako pia
show za migodini sio za kutuma mtoto legelege labda uwe umelamba kitengoUsha wahi kuishi migodini? Nani alie kwambia pesa njenje, mitandao is ku hadae au umechotwa na gsm wa katoro dokta, acha huko pasikie tu nimepita
Kila kitu ambacho mleta mada hana...Wewe una nini mpaka hapo ulipo,tuambie Mafanikio yako ili tujifunze kwako na umri wako pia