Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Mkuu naomba nikupe ushuhuda wangu tuu.
Kuna mwanamke alikuwa single mother wa mtoto mmoja(nilimkuta ana mtoto), lakini nikamwambia sitaki nimzalishe kabla ya kufunga ndoa, lakini cha ajabu Alisema mimi Sina nguvu za kiume, baada ya hapo Kuna fundi gereji alikuwa na IST akamkubalia na jamaa akapiga mpaka demu akapata mimba,hapa saivi yule dada ana siku tano amejifungua,
Cha ajabu yule jamaa saivi hatoi hela na IST ameshauza,ingawa wanaishi wote.
Jana yule dada amelazwa hospital mtoto kazidiwa ila ananipigia mimi kuniomba nimsaidie hela ya nauli kwenda hospital na hela ya viatu vya shule vya mtoto wake wa kwanza.
Hapo utnilaumu mimi? au utawalaumu hao wanaume?
YEYE MWENYEWE NDIO ALITAKA KUZAA,HIVYO ABEBE MSALABA WAKE.
Kazanazo
Hapo wewe ndio umeonesha uanaume kukataa kuzaa na huyo malaya anaejiuza kwa ajili ya shida ndogo ndogo

Siku hizi wanawake washajua kuwa kuolewa ni jambo gumu wanachokifanya wakikuona wewe una hali ya kujimudu na mipango kidogo wanakuja kwa njia ya kukuzalia ili wakutegemee kwa matunzo bila kuangalia athari kwa kizazi anachokileta duniani

Na ukiwa fisi utazaa na dunia nzima kwa kujiweka smart kidogo tu na tugari twa kuzugia
 
miaka inakwenda kweli, vuta mlupo unaoupenda, mwambie kaa hapa tuyajenge. ukipokea mshahara mkabidhi na ile slip ya salary.... mwambie naomba ya nauli, then weka kiasi hiki benki.... dogo, utaishi vema mno....in six monthy...cheki akiba (sahau kabisa michepuko) jenga familia...ongea nae vipi inatosha kuanzisha chochote tuongeze income?... angalia uelekeo wake....akikwambia ndio, tulizana, add 3 monthy tena.....then aanzishe kitu, mpende mtunze.....nakwambia mnatoboa,,,,,nilianza na laki,,,,,,nililishwa kabichi kama sungura, ila tulivuka, ila sijui nini kilimgeuza na safari ilikuwa mbali sana.....ila anzia hapo
Madini tupu hii naitumia sana mke wangu ananipenda hatari. Yaani kwenye haya maisha si mbaya mke wako akajua mshahara wako
 

Attachments

  • FB_IMG_1792249345734.jpg
    FB_IMG_1792249345734.jpg
    70.1 KB · Views: 4
Hapo wewe ndio umeonesha uanaume kukataa kuzaa na huyo malaya anaejiuza kwa ajili ya shida ndogo ndogo

Siku hizi wanawake washajua kuwa kuolewa ni jambo gumu wanachokifanya wakikuona wewe una hali ya kujimudu na mipango kidogo wanakuja kwa njia ya kukuzalia ili wakutegemee kwa matunzo bila kuangalia athari kwa kizazi anachokileta duniani

Na ukiwa fisi utazaa na dunia nzima kwa kujiweka smart kidogo tu na tugari twa kuzugia
Ndio maana nakwambia asilimia 90% ya wanawake wanazaa kwa kutaka wenyewe.
Hivyo single mothers wanataka wenyewe
 
Back
Top Bottom