Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

Mliooa au mnaoishi na wanawake, mnafanyaje?

miaka inakwenda kweli, vuta mlupo unaoupenda, mwambie kaa hapa tuyajenge. ukipokea mshahara mkabidhi na ile slip ya salary.... mwambie naomba ya nauli, then weka kiasi hiki benki.... dogo, utaishi vema mno....in six monthy...cheki akiba (sahau kabisa michepuko) jenga familia...ongea nae vipi inatosha kuanzisha chochote tuongeze income?... angalia uelekeo wake....akikwambia ndio, tulizana, add 3 monthy tena.....then aanzishe kitu, mpende mtunze.....nakwambia mnatoboa,,,,,nilianza na laki,,,,,,nililishwa kabichi kama sungura, ila tulivuka, ila sijui nini kilimgeuza na safari ilikuwa mbali sana.....ila anzia hapo
Moja ya ushauri bora kabisa, nimeipokea hiyo mbuni mkuu
 
Umeelewa nilichoandika lakini, nimekuambia msukumo, sasa kama huna mipamgo utatokaje ? kama hamasa ya mke haikusukumi kufanya lolote utaendeleje?
Kumbe wewe mpaka hamasa yako ni mke wako?mpka mke wako akusukume ndio ufanikiwe na kupambana?
Dahh basi hoja yako inafikirisha.

Wengine ni wapambanaji tangu kuzaliwa,hata bila hamasa wanapambana maana maisha yanawaonesha nini wafanye.
 
Back
Top Bottom