Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Kituo cha afya duuu wakati ndio ninaanza life mtaji huoo au mkuu unataka unipe tufanye maishaaa sema tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh..najua mtaji ni majanga mkuu. Nashangaa tunaambiwa hivyo sasa nawaza watu wanapata wapi mitaji? Wengi wanapenda kujiajiri lkn tatizo linakuja hapo.
 
Your thinking is just the same as me! I will never ever vote for C.C.M
Chagua mtu na si chama. Ina maana upinzani wakisimamisha mtu unaona kabisa hafai utamchagua tu kwasababu ni mpinzani wa ccm.
Ukishabikia chama utapata stress tu, bora kuwa mzalendo uchague yule ambae unaona anafaa kwa manufaa ya taifa regardless chama chake.
 
Ndo maana sisi wengine hatuna vyama.

Na kutokuwa na vyama kunatuweka huru zaidi kwa sababu hatuko beholden kwa yeyote yule.

Tunawachana CCM na tunawachana wapinzani wao kwa nguvu na ari ileile.
 
Ndo maana sisi wengine hatuna vyama.

Na kutokuwa na vyama kunatuweka huru zaidi kwa sababu hatuko beholden kwa yeyote yule.

Tunawachana CCM na tunawachana wapinzani wao kwa nguvu na ari ileile.
Kabisa. Mimi sina chama pia maana wote wapuuzi. Na nisipoona mtu anayefaa bora nisipige kura.
 
Usipaniki mkuu, samahani kama jiwe liliotupwa gizani limekupata.

No panic here. Unaelimishwa tu. Huna akili wala uwezo wa kunipanikisha.

Unarusha jiwe gizani? Lazima utakuwa unaogopa!
 
No panic here. Unaelimishwa tu. Huna akili wala uwezo wa kunipanikisha.

Unarusha jiwe gizani? Lazima utakuwa unaogopa!
Hakuna haja ya kukashfiana, I sense it is getting personal. So I will try to keep away from your threads. However, I will tell you that I don't have to be as 'intelligent' as you are to realize your 'little business interests' in TZ have compelled you suck up to current regime. And that is pathetic!
 
Mimi bor sikumchagua magufuli mbona lile kalatasi alilokuw analisoma wakati wa kampeni haligusi kabisa ameanza kwanza biashata zake halafu bado wawtu wanashangila mkuu anafanya kazi pole yao ndio maana hata bunge lifutiliwa mbali hauko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna haja ya kukashfiana, I sense it is getting personal.

Maybe it's getting personal on your end and in your thick head and that's why 'unarusha jiwe gizani'.

Otherwise, if you aren't scared then I don't see the need to sling a stone in the dark.

For what?

So I will try to keep away from your threads.

Couldn't care less and won't lose sleep over it.

However, I will tell you that I don't have to be as 'intelligent' as you are to realize your 'little business interests' in TZ have compelled you suck up to current regime.

I have business interests in TZ?

That's a figment of your imagination.

Further proof of how stupid you are.

And that's exactly why I said the concept of equal opportunity is way way above your pay grade.

And that is pathetic!

Pathetic is your cowardice and the figment of your imagination.
 
Saizi wamebaki na bumbuwazi.
7e3f899c91f65b5a737cacbc66498a8f.jpg
 
Back
Top Bottom