Mlioko Jikoni Pay Roll za August zipoje?

Mlioko Jikoni Pay Roll za August zipoje?

Mungu awasaidie sana wanangu, wakuze katika yalio bora/mema na awaepushe kwenye utumwa katika maisha yao.
Note:
Kua mtumishi sio utumwa chief, bali utumwa ni kuishi maisha ya kumtegemea mtoa maamuzi ama kuishi maisha ya kutokujua kesho/hatma yako ama kuishi kwa kusubiri fulani akubali ama akatae (haujui)
 
Mtumishi (mzizi wa neno(Mtumwa)

Kila mtu ni Mtumwa, hakuna exception.

Kuna tofauti ya Mabwana tu, wengine wanajituma wenyewe (na hawa ndio watumwa zaidi maana hufanya kazi kwa moyo wote na hulazimika kufanya hivyo ili watoboe), wengine wanatumwa na wengine (mabosi wao), hawa wanaongoza kwa uvivu na ujanja kazini, isipokua wachache miongoni mwao.

Na kila mmoja anamtegemea mwengine ili maisha yasonge, si busara, si uungwana, wala si ubinadamu kujikweza au kujiona bora kuliko mwengine.
 
Back
Top Bottom