Mtimkavuorg
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 653
- 530
23000/=
Wewe milionea njaa vipi!? Za ck!? Ajira tamuPoleni sana watumwa kukadiriwa kipato kwa mwezi sijambo rahisi
Inasemekana ni 2%Barua za PERMANENT AND PENSIONABLE zilikuwa zinataja ongezeko la 9% kwenye mshahara ghafi. So nadhani, waweza chukua gross salary yako, ukajumlisha na asilimia 9, then ukatoa roughly 30% ya makato.
Labda kama ni annual increment kwa kufuata makubaliano mengine. Lakini sitoshangaa mkuuInasemekana ni 2%
Hakuna salary increment ni zile elfu kumikumi za annualHivi kinachosubiriwa ni annual increment au ni salary increament? Kama ni annual increment basi haiwahusu wale walioko kwenye bar ya ngazi zao. Lakini kama ni salary increment basi inawahusu watumishi wote!!
Nasikia ni zile elfu kumi na kitu kabla ya makatoBarua za PERMANENT AND PENSIONABLE zilikuwa zinataja ongezeko la 9% kwenye mshahara ghafi. So nadhani, waweza chukua gross salary yako, ukajumlisha na asilimia 9, then ukatoa roughly 30% ya makato.
Zinatofautiana kulingana na cheoNasikia ni zile elfu kumi na kitu kabla ya makato
Nadhani kwa vyeo vinavyotambulika sidhani kama ipo inayovuka 50, 000?Zinatofautiana kulingana na cheo
SCHEDULE INCREMENTZinatofautiana kulingana na cheo
Ndio omeongezwa mwezi huu?SCHEDULE INCREMENT
TGOS A1 - A18 = 7,000
TGOS B1 - B12 = 12,000
TGOS C1 - C12 = 13,000
TGS A1 - A8 = 8,500
TGA B1- B10 =11,000
TGS C1- C12 = 13,000
TGS D1 - D12 = 15,000
TGS E1 - E12 = 19,000
TGS F1 - F12 = 24,000
TGS G1 - G12 = 31,000
TGS H1 - H12 = 62,000
TGS I 1 - I 4 = 117,000
TGS J1- Fixed
TGTS B1 - B6 = 10,000
TGTS C1- C7 = 13,000
TGTS D1 - D7 = 17,000
TGTS E1 - E10 = 19,000
TGTS F1 - F7 = 33,000
TGTS G1- G7= 38,000
TGTS H1 - H7 = 60,000
TGTS I 1 - Fixed
TGHOS A1 - A10 = 6,000
TGHOS B1- B10 = 9,000
TGHOS C1 = C10 =10,000
TGHS A1 - A8 = 11,000
TGHS B1 - B8 = 12,000
TGHS C1 - C8 = 19,000
TGHS D1 - D8 = 126,000
TGHS E1 - E8 = 30,000
TGHS F1 - F8 = 55,000
TGHS G1 - G4 = 67,000
TGHS H1 - H4 = 116,000
TGHS I = Fixed
TGHS J= Fixed
TGHS K= Fixed
TGHS L = Fixed
Kula chuma hicho[emoji115][emoji115]