Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Mwanzo sikuelewa vizur mi naongelea banana yenyewe sio bia ya banana enzi zile ilikuwa inafunguliwa kwa nusu saa.Nimekuwa nikikatiza maeneo na kukuta hii Bia ingawa binafsi sijawahi ijaribu...ila natamani nione what a local beer has to offer, especially from Arusha! mliowahi jaribu hii kitu, je ipo level za kina serengeti na kilimanjaro? wengine walikuwa wanasema ati mataputapu, msemo huu una maana gani?
Mkuu umenikumbusha miaka ya 2006 hadi 2009 nilikuwa nainywa sana hii banana. kama ulivyosema, kuifungua ni nusu saa, ukikurupuka inamwagika yote unaambulia machichaMwanzo sikuelewa vizur mi naongelea banana yenyewe sio bia ya banana enzi zile ilikuwa inafunguliwa kwa nusu saa.
Duc in Altum
Mkuu umenikumbusha miaka ya 2006 hadi 2009 nilikuwa nainya sana hii banana. kama ulivyosema, kuifungua ni nusu saa, ukikurupuka inamwagika yote unaambulia machicha
nilikua atown once nikaijaribu na ugoro ile nimefika ya nne namalizia fundo la mwisho lika pitiliza na ugoro vikaingia vyote tumboni nika jitusu kuwasha sport nika piga pafu la kwanza na la pili kilichotokea hata kusimulia ni mtihani mpaka leo sinywi wala kuvuta , ila ipo kama wine ilio chacha na ukakasi wa kutosha inshort ni mataputapu sema kujaribu sio mbaya
Mkuu unakunya banana! Wewe ni shidahMkuu umenikumbusha miaka ya 2006 hadi 2009 nilikuwa nainya sana hii banana. kama ulivyosema, kuifungua ni nusu saa, ukikurupuka inamwagika yote unaambulia machicha
Niliacha mwaka 2009. sasa mwendo wa maji ya mende tuMkuu unakunya banana! Wewe ni shidah
Kwahiyo ulikuwa unainya kivipi mkuu? Yaani unaharisha banana kama banana au ni vipi maana sijaelewa kabisa.Niliacha mwaka 2009. sasa mwendo wa maji ya mende tu