Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hivi kwanza umemaliza form six?We jamaa mbishi kinoma haya basi naunga mkono msimamo wako.
kama niko sahihi twende na mtazamo wangu...kama unahisi uko sahihi pia unaweza ukachagua mtazamo wako ...
Life is yours!