Mliochaguliwa Ardhi - The unique university, tukutane hapa

Mliochaguliwa Ardhi - The unique university, tukutane hapa

bora umewaambia ukweli, wakati nafika ardhi BE kila mtu anasifia kozi nzurii somaa na mbwembwe kibao nikapata BICHWAA, liza baada ya kumaliza shule vyeti hata 500 haikup kwa mwezi naumepanga jiji hili
Qs vipii....

Yaani na kusoma kote measurements unalia njaa kama umesoma political science!
 
Kama bado mwanafunzi endelea kusoma ukimaliza utayakuta mbele
Hahahaaa! Wewe hujasoma BE ! Kama ni BE utakuta hauko serious manake wako wenzako wamemaliza hiyo Be lakini kwa kuwa hawakutaka kuinvest kwenye professional yao wako wafanya mambo mengine...

Let people with passion invest on what they believe to be their path of success..!!
 
Hahhaa mimi sipendi suruali bana. mimi nataka sketi mtoto akibinuka mashalaa nione mapaja yake hadi takoz na chupi.
Mkuu kule watoto wa kike wanalala studio hadi usiku wa 8 ila hiyo stress ya kazi tuu wala hutakuwa na hamu ya ku ######

[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Huko studio wanafanyaje.
Studio watu wanachora mkuu!

Ukienda kusoma Architecture...
though pia baadhi ya course zina studio pia...

Geomatics
Be
Urban and Regional Planning
Environmental Technology
Civil Engineering....

Ila salute kwa Architects..! Wanafanya vitu vizuri..
 
Nina dogo namuhifadhi kamaliza BE mwenyewe anajiita QS mwaka wa pili hata uwezo wa kupanga chumba hana,akipata kazi basi kwa mchina anamlipa elfu 10 au 5 kwa siku.....,tunawaambieni kweli ,someni muje uraiani,kama mnaweza muwe mnapitia hata tovuti za ajira muone rate ya uhitaji wa post zenu ukoje,watu wa hapo inaweza pita miezi hata mitatu ndo unaona labda post moja ya QS
 
Ngono iko pale pale bana. Utafanya kazi kwa bidii sana mwishowe utamtafuta mtu wa kukufanya ulegee kwa utamu.
Huwezi fanya ngono darasani kijana...!

Halafu pia kama unaenda chuo kwa ajili ya watoto wa kike utakufa mapema tuu...

Kama ngono sio lazima uende chuo...hata mtaani panafaa tuu.!
 
Ni kweli ila ngono ni sehemu ya chuo kwa hiyo lazima ukubaliane na mimi pia sio wanaofanya ngono chuoni tuu wanakufa bali hata wanaofanya mapenzi mtaani wanakufa mapema.
Mkuu hali yako ni mbaya...!

Ngono ni sehemu ya chuo?

How? Unaamanisha nini ?
 
Ni kweli ila ngono ni sehemu ya chuo kwa hiyo lazima ukubaliane na mimi pia sio wanaofanya ngono chuoni tuu wanakufa bali hata wanaofanya mapenzi mtaani wanakufa mapema.
Ila kama ndo umemaliza form six sio mbaya ....nenda chuo utabadilika tuu mkuu !

Naamini chuo pia ni sehemu ya kupata fikiria chanya na mtazamo chanya...
 
una swali lolote kuhusu hostel, usajiri,degree programs,usalama, nk. basi usisite kuuliza
What make this university to be unique? Kwa Tanzania hapa chuo pekee kama kingeenda kama walivyo aza ni The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST)
 
Luna binti mmoja kasoma QS Anajifanya Yuki strict sana hebu leteni ujuzi yaweza kuwa alikuwa jamvi LA kupika gpa
 
we kubali usikubali mimi nakuambia watu wanatiana mipini chuo bana na ndo watu wanapoharibikia kwa mujibu wa tafiti zangu za miaka mitano.
Umefanya utafiti gani mkuu!

au ndo story za mtaani kwenu?
 
Nina dogo namuhifadhi kamaliza BE mwenyewe anajiita QS mwaka wa pili hata uwezo wa kupanga chumba hana,akipata kazi basi kwa mchina anamlipa elfu 10 au 5 kwa siku.....,tunawaambieni kweli ,someni muje uraiani,kama mnaweza muwe mnapitia hata tovuti za ajira muone rate ya uhitaji wa post zenu ukoje,watu wa hapo inaweza pita miezi hata mitatu ndo unaona labda post moja ya QS

Mkuu kusoma kitu flani sio kwamba ni umejihakikishia mafanikio...

Hata Medicine wanabwela tuu...! lazima mtu uwe potential! Lazima mtu uwe strategically...kama mtu huna hizo traits you will always be poor...

Tatizo mtu unajibrand vipii? Kama uwezo wake ni mdogo ,definitely atafanya mbaya


Mind you: life favours only the prepared mind...
 
We endelea kubisha tuu ila ukeli ndio huo. Wanafunzi wengi wa chuo wa kike ndo kimbilio la wapenda malaya.
Do not speak on your feelings...speak with facts!

Wacheni kukariri mambo..! Baadaye utakuja kusema kila anaesoma chuo ni malaya..

Na watu wanaoenda vyuo wakiwa na ideology kama ya kwako ndo mnatuletea wasomi vilaza...

Wewe utakuwaje Architect mzuri kama ndo kwanza unaenda chuo unawaza kitobo tuu...
 
Vyote vinafanyika. watu wanatiana vibaya mno na wanapiga kitabu pia.

We ndugu ni kwamba hujui haya mambo ya vyuoni au unanichora?
Una mawazo mafupi mno...!

Wewe unawaza kwenda kutiana chuo ! Kwani ukikaa kwenu huwezi kutiana?
 
Back
Top Bottom