Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Juzi kati niliingia kuperuzi tu nikakutana na neno lake hilo khaa nikashindwa nakazama tu kumpa like
Na sikua ahaka kua ni mpya kumbe kabadili ha ha haa
Ha ha ha ha mi sijasema kabadili....
 
Wacha wee sisy leo unakataa mbesa.. nirushie zile zangu nilizokurushiaga basi hata upunguze madeni
Wewe ni kaka yangu. Hebu fanya hima unirushie tena zile zimeisha.
 
Back
Top Bottom