Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

. Unaomba utumiwe namba. Ukirushiwa ya wife au sister. Ndiyo maana watu wanabadilisha I'd wengine wanazitelekeza


Nakurushia namba ya housegirl au nampanga mtu nakutumia namba yake, jina linasoma lingineee.
 
Tusifanyeane hivi bwana.... ila ID mpya mnafikiri ni nyie wanawake tu hata kwetu ni za kuepuka maana JF kuchorana ni kwingi
Mie ndio maana naicheki kwanza ni ya lini, siitambui, nauchuna kama sijaona.
 
Hii nayo mpya lakini imechangamka!
Juzi kati niliingia kuperuzi tu nikakutana na neno lake hilo khaa nikashindwa nakazama tu kumpa like
Na sikua ahaka kua ni mpya kumbe kabadili ha ha haa
 
Back
Top Bottom