Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,812
- 15,555
Ila kuna watu et lakini walikua wakihisi ni dume etDuh nimemiss huyu ndito...alikuwa na thread kali za chumbani!
Ila kuna watu et lakini walikua wakihisi ni dume etDuh nimemiss huyu ndito...alikuwa na thread kali za chumbani!
Aaaah wapi, we my kaka nakukamua hadi siku ya mwisho.
Ukishaolewa sahau vya nyumbani
Hivi ningekutongoza ungenionaje mana ile lips ilikua inavutiaa dah![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uko busy kumbe unatongoza mkeo, hizi fake id noma sana. Au unajikuta unamtongoza ndugu yako.
Hahahaaaa! Ukiona hivyo ujue hauna maex wengi lasivyo ungeyumba. Sasa mie mtu anganiita vile nisingejua ni manga,wax,viol,kaboom au rogie!!!Kiukweli mii ulinistua nafurahi tu sikuyummba kukutaja
Ndiyo kule mtu anashangaa huyu mtu alikuwa ananitongoza ila kakatisha gafla. Ni mambo kama haya
nna shaka ishakukuta hiiNingkuchora tu. Alafu umenikumbusha kitu, kuna mahali ulijichanganya nikawa nakudeku tu.Hivi ningekutongoza ungenionaje mana ile lips ilikua inavutiaa dah
Ondoa shaka hakishindikani kituManga vipi... naona mnaitana mahaba na mamdogo vipi unajua taratibu za mahari za kikwetu lakini!
Utakua mmojawapo weweHivi ID inabadilishwa vip
Hahahaaaa! Anajua mwenyewe.Eeeh utamu kolea...
Nipo shemela wangu.Daby anko wa rafiki yangu,ukimuona shemela Saint Ivuga mpe salamu zangu,baada ya salamu tumemmiss Sana.
Cc relato
Pole mkuu ila atakua hayupo simuoni akija liverpoolKule tangu wawe title favourite nimeacha kupita....🙂🙂🙂
Ooh. Shemela,pole Sana. Na mvua zimeamua,zinanyesha Sana. But I like the weather thoNipo shemela wangu.
Mvua hii nimejifungia tu ndani.
Nna nilikuja pata ushahidi kabadili kweliHa ha ha ha mi sijasema kabadili....

Kama yupo Russia vile hii weather eeh??Ooh. Shemela,pole Sana. Na mvua zimeamua,zinanyesha Sana. But I like the weather tho