Mliobadili ID....

Mliobadili ID....

Haha nitakukimbiaje nitafanya kama yule jamaa wa uzi wa jana. Naweka cctv nikishaona sura yako pana natoka nduki

Nami nitakuwa nakutega utokee kwanza ndio nitokee, kumbuka wewe nakufahamu ila wewe wakati huo unawaza unakutana na mwingineee kumbe mimi dada yako.
 

Uko busy kumbe unatongoza mkeo, hizi fake id noma sana. Au unajikuta unamtongoza ndugu yako.
. Unaomba utumiwe namba. Ukirushiwa ya wife au sister. Ndiyo maana watu wanabadilisha I'd wengine wanazitelekeza
 
Back
Top Bottom