Mlioahidiwa kuolewa 2017 zimebaki siku 3

Mlioahidiwa kuolewa 2017 zimebaki siku 3

Hi wanaJF

Najua kuna kina dada au kina mama waliopewa ahadi za kuolewa 2017 kitu ambacho kilipelekea wengine tunyimwe fursa hata ya kuagwa.

Napenda kuwakumbusha ndugu zetu hawa kwamba zimebaki siku 3 tu 2017 kuisha
IMG-20171228-WA0003.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom