Shidaaa sasaDuuh
Hi wanaJF
Najua kuna kina dada au kina mama waliopewa ahadi za kuolewa 2017 kitu ambacho kilipelekea wengine tunyimwe fursa hata ya kuagwa.
Napenda kuwakumbusha ndugu zetu hawa kwamba zimebaki siku 3 tu 2017 kuisha
Wewe pia ulipewa ahadi?Sawa
Niko kwa sonara hapa nakuchongea cheni ya kiunoni, kesho kutwa harusi yetu hamna haja ya kuvishana Pete, tutavishana cheni kiunoni
HapanaHivi kuolewa ni lazma??
Haaaa haaaaaVyuma vimekaza Mkuu harusi zimesogezwa hadi grisi itakapotikana.
Ndio nasafisha negative Mzee,Cheni kiunoni eh! Hongera Mkuu tupia kapicha ukishamvisha hiyo cheni kiunoni akiwa hana picchu ili tuone ilivyompendeza.
NdioWewe pia ulipewa ahadi?
Sasa tunafanyaje maana hii ni mida ya majeruhi.Ndio
Usijali Shem... Naamini yeye ni wangu tuu!!!Sasa tunafanyaje maana hii ni mida ya majeruhi.
Ndio ila kuzaa ni majaliwa.Hivi kuolewa ni lazma??
Kweli kabisa,nitafunga kwaajili yako shemeji.Usijali Shem... Naamini yeye ni wangu tuu!!!