Mlio karibu na Rais Magufuli please tell him this...

Mkuu JPm ni slow learner and rigid kwa miaka mitatu angekua ameshajifuza na kubadilika kwa mtu mwenye upeo......Ila paka sasa hivi anaimba wimbo ule ule....elimu imemshinda, afya ni majanga foreign and local investors ni madui kwake Democracy na utawala wa sheria bado, mpaka sasa hajajifunza wananchi wanachohitaji,..... sio national praid ya miundombinu, ila maisha bora na uhuru
Maoni yangu ni kuwa hatujui yajayo usiwe mwepesi wa kusema hatokuja rais mbaya ka magu kesho hatuijui na viongozi ni binadamu. Iam in neither side. Huwa simwamini mtu hata kwa 75%kama hajamiliza jambo bado
 
Ni lazima jiwe atawale miongo miwili no matter what
Nini? Walahi labda zisiwepo SNIPEX M75
IMG_20181029_110413%7E2.jpeg
 
lakini ni Jf tu nadhani, huko nje hakuna kitu! Sijasikia! au I am in giza
Yafanyikayo huko nje ndio reflection ya yanayozungumzwa humu JF!

Tofauti ni kwamba huku kuna kauhuru kidogo ka ku air your opinion tofauti na huko nje!

Haya yanazungumzwa maofisini, kwenye vyombo vya usafiri, majumbani, makazini, michezoni na kila mahali sema hayajawa organized na kusema na source moja kama ilivyo hapa JF!

Hata tunayoyazungumza kuhusu Mh. JPM ndio hayo hayo yanazungumzwa kitaani. Kwani uongo?
 
Yafanyikayo huko nje ndio reflection ya yanayozungumzwa humu JF!

Tofauti ni kwamba huku kuna kauhuru kidogo ka ku air your opinion tofauti na huko nje!

Haya yanazungumzwa maofisini, kwenye vyombo vya usafiri, majumbani, makazini, michezoni na kila mahali sema hayajawa organized na kusema na source moja kama ilivyo hapa JF!

Hata tunayoyazungumza kuhusu Mh. JPM ndio hayo hayo yanazungumzwa kitaani. Kwani uongo?
Nimekupata na uko sahihi! Kwa JPM kweli watu hawampendi! Ya Membe sijasikia mitaani labda kama ulivyosema, uhuru wa kuongea nje mtaani hakuna kabisa au uko extremely limited/curtailed!
 
Mkuu iko wazi jamaa alipatikana accidentally sidhani hata kama alikwepo kwenye shortlist ya wanaccm ambao wangekuja kiwa marais wa tanzani
 
Jiwe ni la hovyo sana.. nalichukia kwa akili yangu yote kwa sababu ni jitu katili na nafiki sana.. kibaya zaidi ni li kil/aza fulani hivi ambalo bado lina fikiria mambo ya azimio la arusha.. historia imeonesha kuwa falsafa bila nyenzo za kutekeleza falsafa husika lazima utafeli. Na hili jamaa bila shaka litafeli... na tutalicheka sana..

Mtu mwenye akili huweziondosha pesa yote nchini halafu ukadai maendeleo ni mazuri. No wonder jamaa anajiita kichaa.. 2020 watz tusikubali tena kuongozwa na kichaa au taahira.. tukatae kabisaaa..
 
Siyo kweli kwamba wewe ni kama Magufuli, kwani Magufuli ni Raisi wa JMTZ na wewe siyo, hivyo huwezi kuwa kama Magufuli kwa maana huwezi kuja kuwa Raisi wa JMTZ kamwe!
Kwani wewe Mungu ?? Hata jypiem alipata kwa ndondokela.
 
Back
Top Bottom