Mlio karibu na Rais Magufuli please tell him this...

Mlio karibu na Rais Magufuli please tell him this...

....... kila mwenye akili timamu aliesoma posts zangu atakuwa shuhuda kuwa SIJAWAHI KUMUUNGA MKONO Rais Magufuli hata siku moja. Naamini na nina uhakika kuwa kila anachokifanya (hata kama ana nia nzuri namna gani) hakitafanikiwa MAANA METHODOLOGY ANAYOIAMINI SIO SAHIHI KWA ULIMWENGU TUNAOUISHI LEO.

Magufuli ni mtu kama nilivyo mimi, kwa mantiki hiyo hana control na kesho yake kama nilivyo mimi. That in turn, akubali kuwa he needs to work with people who opposes him because by so doing he will rid himself of people who keep singing his praises but in the actual fact are bent on to ensure their personal motives are sustained.

Rais Magufuli; you are the most suited person at this point in our nation history to do what am suggesting to you now. Watu wanakusifu (and more importantly wanakuogopa); SO ENSURE THE NEW CONSTITUTION WHICH WILL MAKE SURE THAT NO INDIVIDUAL CAN DO WHATEVER HE(SHE) LIKES IS IMPOSSIBLE. Utakumbukwa kwa mengi yasiyopendeza, LAKINI UKIFANYA HIVI UTAKUMBUKWA NA VIZAZI VYOTE VYA NCHI HII POSITIVELY.

NAOGOPA KILA JINA LA MEMBE LINAVYOTAJWA HAPA - mimi sio mwana ccm kwa hiyo sijui huko mnaparanganaje, lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu.

Mungu Muumba Mbingu na Nchi akujaalie busara.
Hujawai na hutowai kukubali kaz za JPM na sikulaumu kwakua haitakuja kutokea kwa rais yeyote atakaye ongoza bila kukosolewa . Ila tupo na sisi tunao amini JPM anafanya vizuri ila kama binadamu hawezi kukosa kasolo na hakuna Rais atakaye kuja atakaye ongoza bila kukosolewa. Yote kwa yote JPM piga kazi ayo mambo ya Membe tuachie sisi Wananchi kwa ujumla hana sumu na hawezi kuwa tishio ni kama Simba wa karatasi.
 
mimi hata sikuelewi umezungumza nini umeandika kizungu. hiyo kidogo uliyoiweka ya kiswahili nimeelewa wewe umekuwa mungu unasema kila atakachokifanya hakitafanikiwa.unaishi wapi tz au nje ya nchi . huyaoni mafanikio kwa miaka miwili tu kafanya mazuri mengi, huoni usafiri wa ndege. huoni treni ya mwendo kasi wameanza kutengeneza, vituo vingi vya afya vimejengwa tanzania nzima . hospital za muhimbili imeboreshwa kwa vifaa na nidhamu hospital za ilala mwana nyamala na temeke zilikuwa na huduma kama zilivyo sasa. wanafunzi kusoma bure. shule kuwa na ma desk ya kusomea. shule za serikali kufanya vizuri kuliko praivet.kusaidia wanyonge wanapokwenda kumshtakia- kusema ukweli hadharani, ufisadi kupungua sana, heshima mahospitali na offisi za serikali unapokwenda kwa shughuli zako. nina weza nikakesha naandika mazuri yake tu na hayaishi hiyo ni miaka miwili tu mungu akulinde akupe afya rais wetu mpendwa

Umenichekesha mkuu, kweli unaamini huo upuzi???
Amakweli Tz bado sana, kama mtu mzima kama wew una akili hizi sijui watoto
 
Tatizo watz mnapenda kiongozi wa maneno maneno mengi vitendo hakuna,fanyeni kazi.Na yote kwa sababu kabana mirija ya upigaji ndio mnalalamika.Ukienda vijijini au sehemu ambazo wanapata huduma kama zahanati,umeme REA na miradi ya maji hawawezi sema hivyo.Ni huku mitandaoni ndio kelele nyingi

Kumbuka mitandaini ndiyo kuna watu wanaojielewa, vijini ni wajinga na hawana elimu, hao ndiyo mtaji wa ccm pamoja na wew na familia yako
 
Umenichekesha mkuu, kweli unaamini huo upuzi???
Amakweli Tz bado sana, kama mtu mzima kama wew una akili hizi sijui watoto

Tatizo la hawa watu ni kudhani propaganda huwa zinageuka ukweli. Apologists wa Magufuli wamekuwa kama waziri wa habari wa Saddam Hussein aliekuwa anatangaza habari za "ushindi" wa majeshi ya Iraq hadi akabatizwa jina la comical Ally.
 
....... kila mwenye akili timamu aliesoma posts zangu atakuwa shuhuda kuwa SIJAWAHI KUMUUNGA MKONO Rais Magufuli hata siku moja. Naamini na nina uhakika kuwa kila anachokifanya (hata kama ana nia nzuri namna gani) hakitafanikiwa MAANA METHODOLOGY ANAYOIAMINI SIO SAHIHI KWA ULIMWENGU TUNAOUISHI LEO.

Magufuli ni mtu kama nilivyo mimi, kwa mantiki hiyo hana control na kesho yake kama nilivyo mimi. That in turn, akubali kuwa he needs to work with people who opposes him because by so doing he will rid himself of people who keep singing his praises but in the actual fact are bent on to ensure their personal motives are sustained.

Rais Magufuli; you are the most suited person at this point in our nation history to do what am suggesting to you now. Watu wanakusifu (and more importantly wanakuogopa); SO ENSURE THE NEW CONSTITUTION WHICH WILL MAKE SURE THAT NO INDIVIDUAL CAN DO WHATEVER HE(SHE) LIKES IS IMPOSSIBLE. Utakumbukwa kwa mengi yasiyopendeza, LAKINI UKIFANYA HIVI UTAKUMBUKWA NA VIZAZI VYOTE VYA NCHI HII POSITIVELY.

NAOGOPA KILA JINA LA MEMBE LINAVYOTAJWA HAPA - mimi sio mwana ccm kwa hiyo sijui huko mnaparanganaje, lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu.

Mungu Muumba Mbingu na Nchi akujaalie busara.
Manyumbu wenzio wa chadema wako tayari membe awe rais tena watampigia kura.. Hahaha..... Chadema hawajawahi kujua wanachokitaka
 
Manyumbu wenzio wa chadema wako tayari membe awe rais tena watampigia kura.. Hahaha..... Chadema hawajawahi kujua wanachokitaka

Unajua kuwa nyumbu wana akili kuliko wanachama na mashabiki wengi wa ccm? Nakuhakikishia kuwa nyumbu wangekuwa na akili kama yako wangeshatoweka kabisa.
 
Unajua kuwa nyumbu wana akili kuliko wanachama na mashabiki wengi wa ccm? Nakuhakikishia kuwa nyumbu wangekuwa na akili kama yako wangeshatoweka kabisa.
Sawa mkuu... Hahahaha, cahdema wanamoigia kampeni membe awe rais... Sasa nyie mtashika lini huo urais?
 
Membe asahau tu kuwa Rais. Ukiona mtu anajigamba kuwa kuna watu watahama nchi akiingia ikulu...ujue huyo mtu ni disaster na hafai kabisa.

Tanzania tunamtaka MANDELA atakayesema imetosha na tusameheane wote kila mtu na jirani yake. Uongozi wa visasi ni uongozi wa kipumbavu. Ili Tanzania isonge mbele tunahitji Rais atakayeunganisha watu bila kujali chama, dini au ukanda.
 
Siyo kweli kwamba wewe ni kama Magufuli, kwani Magufuli ni Raisi wa JMTZ na wewe siyo, hivyo huwezi kuwa kama Magufuli kwa maana huwezi kuja kuwa Raisi wa JMTZ kamwe!
Mjinga mkubwa wewe . ... Kwa nn hawezi kuja kuwa rais kamwe? Majinga sijui yataisha Lini nchi hii
 
"lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu".....

Hapana mkuu JPM is the worse president ever in Tz sitegemee raisi mgine worse kuliko yeye anaweza kujutokeza tena.....JPM Hana clear political agenda and programme with un defined economic policy, poor foreign and public relation, no rule of law and democracy hana political torelance and humour, ni raisi mzuri ila sio kwa Tanzania nchi ya amani na utulivu.
Jpm is a worse president ever....sawa anaweza kuja the worst one. Cha kujifunza ni kuwa na kidhibiti mwendo katiba na si ilimradi katiba...katiba inayojumuisha sura ya tatu ya katiba ya warioba
 
Isijekuwa huu wimbo ni kama ule wa bi. Kirembwe watu wanaucheza bila kuujua. Isije ikawa ni wimbo wa bi virembwe wa majimbo ya kusini wakitaka sahani yao chamani...ni mawazo tu why now, why magufuri haoni soni kwa wabunge wa kusini au kuna kitu tusichokifahamu zaidi hakiwezi kuwa just uchaguzi tuu...na haohao ccm huwa wanasema magufuli atawale milele sasa iweje ghafla bin vuu hali inataka kubadilishwa kuna mengi hapa nyuma ya panzia...huu wimbo utaondoka na mpiga zumari wake
 
Hatimaye Jiwe limeanza kuviringishwa kutolewa nje baada ya ndoto za kuwa Malaika mkuu kutotimia
 
Ni lazima jiwe atawale miongo miwili no matter what
Kwanza mlisema atatawala milele, pili mkasema kura ya maoni iitishwe aendelee mpaka 2040, tatu mnasema lazima atawale miongo miwili ( yaani hapa vyama vingine umevitoa) baadaye mtasemaje?
 
Jiwe lilikata pumzi miezi 6 ya kwanza, tangu pale limekua likivurunda tu uchumi na kutujengea uadui wa kiitikadi
 
Huu wimbo wa Membe unazidi kuvuma!

Si wa kuuchekea chekea ufanyiwe kazi kwa mujibu wa sheria, kanuni na utamaduni wetu.

Kampeni hazijaanza. Tuheshimu Matakwa ya kisheria!
lakini ni Jf tu nadhani, huko nje hakuna kitu! Sijasikia! au I am in giza
 
Huu wimbo wa Membe unazidi kuvuma!

Si wa kuuchekea chekea ufanyiwe kazi kwa mujibu wa sheria, kanuni na utamaduni wetu.

Kampeni hazijaanza. Tuheshimu Matakwa ya kisheria!

Tusijemkuta ufukweni Cocobeach tu.
 
Jpm is a worse president ever....sawa anaweza kuja the worst one. Cha kujifunza ni kuwa na kidhibiti mwendo katiba na si ilimradi katiba...katiba inayojumuisha sura ya tatu ya katiba ya warioba
Mkuu JPm ni slow learner and rigid kwa miaka mitatu angekua ameshajifuza na kubadilika kwa mtu mwenye upeo......Ila paka sasa hivi anaimba wimbo ule ule....elimu imemshinda, afya ni majanga foreign and local investors ni madui kwake Democracy na utawala wa sheria bado, mpaka sasa hajajifunza wananchi wanachohitaji,..... sio national praid ya miundombinu, ila maisha bora na uhuru
 
Back
Top Bottom