Mlio karibu na Rais Magufuli please tell him this...

Mlio karibu na Rais Magufuli please tell him this...

TSH 5000×365+365= 3,650,000

Na mtaumia sana namba hazidanganyi hiyo ndio posho yenu iliyobaki kwa hii miaka miwili ijayo

Huyo Popoma mwenzenu 2020 ndio mwisho wake

Sawa 2020 mwisho, lkn CCM itaendelea kutawala, itachagua mwingine, hakuna tatizo hapo!
 
Matusi, Mauaji ya wapinzani Utekaji Wizi wa kura ndio kitu pekee CCM imebakisha

Nyerere angekuwepo nafikiri saizi angekuwa ufipa pale na Mbowe,Lowassa,Sumaye,Lissu na Nyarandu wanapiga kahawa!
Acha uongo.. nyerere atabakia CcM milele yote ameni
 
....... kila mwenye akili timamu aliesoma posts zangu atakuwa shuhuda kuwa SIJAWAHI KUMUUNGA MKONO Rais Magufuli hata siku moja. Naamini na nina uhakika kuwa kila anachokifanya (hata kama ana nia nzuri namna gani) hakitafanikiwa MAANA METHODOLOGY ANAYOIAMINI SIO SAHIHI KWA ULIMWENGU TUNAOUISHI LEO.

Magufuli ni mtu kama nilivyo mimi, kwa mantiki hiyo hana control na kesho yake kama nilivyo mimi. That in turn, akubali kuwa he needs to work with people who opposes him because by so doing he will rid himself of people who keep singing his praises but in the actual fact are bent on to ensure their personal motives are sustained.

Rais Magufuli; you are the most suited person at this point in our nation history to do what am suggesting to you now. Watu wanakusifu (and more importantly wanakuogopa); SO ENSURE THE NEW CONSTITUTION WHICH WILL MAKE SURE THAT NO INDIVIDUAL CAN DO WHATEVER HE(SHE) LIKES IS IMPOSSIBLE. Utakumbukwa kwa mengi yasiyopendeza, LAKINI UKIFANYA HIVI UTAKUMBUKWA NA VIZAZI VYOTE VYA NCHI HII POSITIVELY.

NAOGOPA KILA JINA LA MEMBE LINAVYOTAJWA HAPA - mimi sio mwana ccm kwa hiyo sijui huko mnaparanganaje, lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu.

Mungu Muumba Mbingu na Nchi akujaalie busara.
Kwani mkuu kuna wakati ambao tulimuhitaji au tutamuhitaji jiwe ???
 
Naona Robot la sisiem unapigania maslahi! Mnataka tuishi kama mashetani nyie mkiwa malaika...

Nyerere aliukataa ukabila mnataka muulete!
Nyerere aliukataa ukanda mnataka muulete!

Hovyo kabisa na sare zenu kama migomba
Sawa 2020 mwisho, lkn CCM itaendelea kutawala, itachagua mwingine, hakuna tatizo hapo!
 
Rebecca naweka akiba ya maandishi 2020.itakua mwisho wa ubishani.Asante

hahahaha mkuu umenikumbusha mbali sana,kuputa..nani akipigana atashinda?? lols ,.Membe aende kwa pace hii hii...lazima atafanikiwa tu,miaka mitatu ya Magufuli hali ndio hivi baada ya miaka mitano kila mtu atakua amechoka na MAIGIZO yake….haya tusubiri 2020,leo TCRA kimyaaa walizidi khaaa…..
 
mimi hata sikuelewi umezungumza nini umeandika kizungu. hiyo kidogo uliyoiweka ya kiswahili nimeelewa wewe umekuwa mungu unasema kila atakachokifanya hakitafanikiwa.unaishi wapi tz au nje ya nchi . huyaoni mafanikio kwa miaka miwili tu kafanya mazuri mengi, huoni usafiri wa ndege. huoni treni ya mwendo kasi wameanza kutengeneza, vituo vingi vya afya vimejengwa tanzania nzima . hospital za muhimbili imeboreshwa kwa vifaa na nidhamu hospital za ilala mwana nyamala na temeke zilikuwa na huduma kama zilivyo sasa. wanafunzi kusoma bure. shule kuwa na ma desk ya kusomea. shule za serikali kufanya vizuri kuliko praivet.kusaidia wanyonge wanapokwenda kumshtakia- kusema ukweli hadharani, ufisadi kupungua sana, heshima mahospitali na offisi za serikali unapokwenda kwa shughuli zako. nina weza nikakesha naandika mazuri yake tu na hayaishi hiyo ni miaka miwili tu mungu akulinde akupe afya rais wetu mpendwa
 
Naona Robot la sisiem unapigania maslahi! Mnataka tuishi kama mashetani nyie mkiwa malaika...

Nyerere aliukataa ukabila mnataka muulete!
Nyerere aliukataa ukanda mnataka muulete!

Hovyo kabisa na sare zenu kama migomba

Lkn chadema ndo wanaoikampenia CCM iendelee kutawala, sasa wanamtaka Membe 2020 baada ya Magufuli, sasa ulitaka CCM wafanye nini, wakatae kukampeniwa na chadema?
 
Ana mapungufu that is very true bahati mbaya hakunaga rais malaika.HE IS THE PERFECT MATCH kwa rais kwa hali ambayo nchi yetu ilikuwa imefikia.

Afuate taratibu tulizojiwekea kwenye demokrasia yetu. Akumbuke yuko madarakani kwa njia ya box la kura, iweje yeye alichezee? Hafanyi vizuri kwenye uchumi. Amejikita kwenye miundo tu, nchi ni zaidi ya miundo mbinu. Kama vipi apishe kwenye urais apewe uwaziri wake wa miundo mbinu aachie wenye uwezo wa urais. Kama ni mafisadi imejidhihirisha hawamudu kwani hana fisadi hata mmoja kamfikisha kwenye mahakama ya mafisadi.
 
Huu wimbo wa Membe unazidi kuvuma!

Si wa kuuchekea chekea ufanyiwe kazi kwa mujibu wa sheria, kanuni na utamaduni wetu.

Kampeni hazijaanza. Tuheshimu Matakwa ya kisheria!
mkuu, mh membe hajafanya kampeni hapa.. Wananchi waliochoka ndo wanambembeleza awanasue..
 
Lkn chadema ndo wanaoikampenia CCM iendelee kutawala, sasa wanamtaka Membe 2020 baada ya Magufuli, sasa ulitaka CCM wafanye nini, wakatae kukampeniwa na chadema?

Kuna taarifa yoyote toka ofisi ys cdm kumkampenia Membe? Huku jukwaani sio ofisi ya cdm usitake kupotosha. Hapa asiyetakiwa ni jiwe kwa kuchezea demokrasia yetu. Na mwendo ni huu huu mpaka afuate sheria tukizojiwekea.
 
Wachaga washaamua ni Mbowe tu chadema, sasa kazi kwenu!
 
....... kila mwenye akili timamu aliesoma posts zangu atakuwa shuhuda kuwa SIJAWAHI KUMUUNGA MKONO Rais Magufuli hata siku moja. Naamini na nina uhakika kuwa kila anachokifanya (hata kama ana nia nzuri namna gani) hakitafanikiwa MAANA METHODOLOGY ANAYOIAMINI SIO SAHIHI KWA ULIMWENGU TUNAOUISHI LEO.

Magufuli ni mtu kama nilivyo mimi, kwa mantiki hiyo hana control na kesho yake kama nilivyo mimi. That in turn, akubali kuwa he needs to work with people who opposes him because by so doing he will rid himself of people who keep singing his praises but in the actual fact are bent on to ensure their personal motives are sustained.

Rais Magufuli; you are the most suited person at this point in our nation history to do what am suggesting to you now. Watu wanakusifu (and more importantly wanakuogopa); SO ENSURE THE NEW CONSTITUTION WHICH WILL MAKE SURE THAT NO INDIVIDUAL CAN DO WHATEVER HE(SHE) LIKES IS IMPOSSIBLE. Utakumbukwa kwa mengi yasiyopendeza, LAKINI UKIFANYA HIVI UTAKUMBUKWA NA VIZAZI VYOTE VYA NCHI HII POSITIVELY.

NAOGOPA KILA JINA LA MEMBE LINAVYOTAJWA HAPA - mimi sio mwana ccm kwa hiyo sijui huko mnaparanganaje, lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu.

Mungu Muumba Mbingu na Nchi akujaalie busara.
Yaani chadema wakitaja jina la membe we unaogopa nini?? Umesahau kuwa membe alikuwa mmoja wa wagombea urais mwenye nguvu huku akiwa na backup ya mwenyekiti wa chama..?kisha nikuambie magufuli mshipa wa uwoga ulishakatika..marekani na european union wanajua..
 
Wachaga washaamua ni Mbowe tu chadema, sasa kazi kwenu!

Hilo watajuana wanachama wa cdm. Hayo makabila mengine yakimshindwa Mbowe wakaanzishe vyama ambavyo makabila yao watakuwa wenyeviti. Sisi tunapambana na dictator linaloharibu demokrasia ya nchi yetu kwa kuchezea box la kura na kunyanyasa wasiokubaliana na mitazamo yake.
 
Back
Top Bottom