Mlio karibu na Rais Magufuli please tell him this...

....... kila mwenye akili timamu aliesoma posts zangu atakuwa shuhuda kuwa SIJAWAHI KUMUUNGA MKONO Rais Magufuli hata siku moja. Naamini na nina uhakika kuwa kila anachokifanya (hata kama ana nia nzuri namna gani) hakitafanikiwa MAANA METHODOLOGY ANAYOIAMINI SIO SAHIHI KWA ULIMWENGU TUNAOUISHI LEO.

Magufuli ni mtu kama nilivyo mimi, kwa mantiki hiyo hana control na kesho yake kama nilivyo mimi. That in turn, akubali kuwa he needs to work with people who opposes him because by so doing he will rid himself of people who keep singing his praises but in the actual fact are bent on to ensure their personal motives are sustained.

Rais Magufuli; you are the most suited person at this point in our nation history to do what am suggesting to you now. Watu wanakusifu (and more importantly wanakuogopa); SO ENSURE THE NEW CONSTITUTION WHICH WILL MAKE SURE THAT NO INDIVIDUAL CAN DO WHATEVER HE(SHE) LIKES IS IMPOSSIBLE. Utakumbukwa kwa mengi yasiyopendeza, LAKINI UKIFANYA HIVI UTAKUMBUKWA NA VIZAZI VYOTE VYA NCHI HII POSITIVELY.

NAOGOPA KILA JINA LA MEMBE LINAVYOTAJWA HAPA - mimi sio mwana ccm kwa hiyo sijui huko mnaparanganaje, lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu.

Mungu Muumba Mbingu na Nchi akujaalie busara.
Badala ya kudai katiba mpya ikusaidie ww na generation yako unadi msaada wa mtu
 
"lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu".....

Hapana mkuu JPM is the worse president ever in Tz sitegemee raisi mgine worse kuliko yeye anaweza kujutokeza tena.....JPM Hana clear political agenda and programme with un defined economic policy, poor foreign and public relation, no rule of law and democracy hana political torelance and humour, ni raisi mzuri ila sio kwa Tanzania nchi ya amani na utulivu.
Tatizo watz mnapenda kiongozi wa maneno maneno mengi vitendo hakuna,fanyeni kazi.Na yote kwa sababu kabana mirija ya upigaji ndio mnalalamika.Ukienda vijijini au sehemu ambazo wanapata huduma kama zahanati,umeme REA na miradi ya maji hawawezi sema hivyo.Ni huku mitandaoni ndio kelele nyingi
 
Acha kukaririshwa propaganda zisizokuwa na kichwa wala mkia. Sio kila Mtanzania ni mjinga kama mnavyofikiri.

Zahanati zisizokuwa na dawa na vifaa vya tiba zina faida gani? Huko vijijini unakokusema kuna malalamiko lukuki wewe umekalia propaganda za kipuuzi zezeta mkubwa!
 
Huu wimbo wa Membe unazidi kuvuma!

Si wa kuuchekea chekea ufanyiwe kazi kwa mujibu wa sheria, kanuni na utamaduni wetu.

Kampeni hazijaanza. Tuheshimu Matakwa ya kisheria!
Hata Majaliwa katika moja ya mikutano yake amewataka wananchi wasimuangushe jiwe,wampe kura 2020.
Huyu nae hajui kama muda wa kampeni bado?
 
Mtanzania yeyote ambae mpaka sasa anaamini JPM ataifanya Tanzania kuwa ya vwonder na kuwa na uchumi wa kati huyo ni wa kupimwa akili
 
....... kila mwenye akili timamu aliesoma posts zangu atakuwa shuhuda kuwa SIJAWAHI KUMUUNGA MKONO Rais Magufuli hata siku moja. Naamini na nina uhakika kuwa kila anachokifanya (hata kama ana nia nzuri namna gani) hakitafanikiwa MAANA METHODOLOGY ANAYOIAMINI SIO SAHIHI KWA ULIMWENGU TUNAOUISHI LEO.

Magufuli ni mtu kama nilivyo mimi, kwa mantiki hiyo hana control na kesho yake kama nilivyo mimi. That in turn, akubali kuwa he needs to work with people who opposes him because by so doing he will rid himself of people who keep singing his praises but in the actual fact are bent on to ensure their personal motives are sustained.

Rais Magufuli; you are the most suited person at this point in our nation history to do what am suggesting to you now. Watu wanakusifu (and more importantly wanakuogopa); SO ENSURE THE NEW CONSTITUTION WHICH WILL MAKE SURE THAT NO INDIVIDUAL CAN DO WHATEVER HE(SHE) LIKES IS IMPOSSIBLE. Utakumbukwa kwa mengi yasiyopendeza, LAKINI UKIFANYA HIVI UTAKUMBUKWA NA VIZAZI VYOTE VYA NCHI HII POSITIVELY.

NAOGOPA KILA JINA LA MEMBE LINAVYOTAJWA HAPA - mimi sio mwana ccm kwa hiyo sijui huko mnaparanganaje, lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu.

Mungu Muumba Mbingu na Nchi akujaalie busara.
Between the two of them the choice is either a rock or a hard place!
 
Hata Majaliwa katika moja ya mikutano yake amewataka wananchi wasimuangushe jiwe,wampe kura 2020.
Huyu nae hajui kama muda wa kampeni bado?
Ujumbe huu si mbaguzi. Wala haujamuacha Majaliwa pembeni!

Wote waacha sheria zitende kazi. Muda wa kampeni bado. Karipio hili ni kwa wote.
 
Haya yote kayataka Musiba, wakati mwingine muwe mnaangalia aina ya marafiki. Yanayotokea na yatakayotokea ni athari ya kuzungukwa na watu kama Musiba.

Membe ni chambo tu, Boyz 2 men in action wanakuja kwa staili ambayo itashangaza wengi maana Rais wanamjua wenyewe binafsi natabili atakuwa ZITO KABWE maana kwa sasa vikao ni vizito mpaka watu wamepanic.
 
Hii hali imewasaidia sana wakulima wa Korosho maana neema imekuja kwa haraka kweli baada ya watu kusikia Membe yuko kilingeni na ZZK amefunguka mistari balaa...
 
Back
Top Bottom