Mlio karibu na Rais Magufuli please tell him this...

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,774
....... kila mwenye akili timamu aliesoma posts zangu atakuwa shuhuda kuwa SIJAWAHI KUMUUNGA MKONO Rais Magufuli hata siku moja. Naamini na nina uhakika kuwa kila anachokifanya (hata kama ana nia nzuri namna gani) hakitafanikiwa MAANA METHODOLOGY ANAYOIAMINI SIO SAHIHI KWA ULIMWENGU TUNAOUISHI LEO.

Magufuli ni mtu kama nilivyo mimi, kwa mantiki hiyo hana control na kesho yake kama nilivyo mimi. That in turn, akubali kuwa he needs to work with people who opposes him because by so doing he will rid himself of people who keep singing his praises but in the actual fact are bent on to ensure their personal motives are sustained.

Rais Magufuli; you are the most suited person at this point in our nation history to do what am suggesting to you now. Watu wanakusifu (and more importantly wanakuogopa); SO ENSURE THE NEW CONSTITUTION WHICH WILL MAKE SURE THAT NO INDIVIDUAL CAN DO WHATEVER HE(SHE) LIKES IS IMPOSSIBLE. Utakumbukwa kwa mengi yasiyopendeza, LAKINI UKIFANYA HIVI UTAKUMBUKWA NA VIZAZI VYOTE VYA NCHI HII POSITIVELY.

NAOGOPA KILA JINA LA MEMBE LINAVYOTAJWA HAPA - mimi sio mwana ccm kwa hiyo sijui huko mnaparanganaje, lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu.

Mungu Muumba Mbingu na Nchi akujaalie busara.
 
"lakini kwangu mimi ni bora Magufuli kuliko Membe. Japo Magufuli mwenyewe sio Rais tunaemhitaji kwa wakati huu".....

Hapana mkuu JPM is the worse president ever in Tz sitegemee raisi mgine worse kuliko yeye anaweza kujutokeza tena.....JPM Hana clear political agenda and programme with un defined economic policy, poor foreign and public relation, no rule of law and democracy hana political torelance and humour, ni raisi mzuri ila sio kwa Tanzania nchi ya amani na utulivu.
 
Membe anaweza kuwa bora kuliko huyo jamaa jiwe asee!

Mimi kama mpinzani najua kipindi hiki ikulu hakuingiliki huku majimboni ndio kabisa amepanga kuwaondoa wabunge wa upinzani.

Kwanini tuishi kama watumwa kwenye nchi yetu ambayo mababu zetu walirisk maisha yao kwa ajili yetu ili tuje kuishi kwa AMANI na UPENDO

Na kuhusu katiba mpya hapo ni kama umechungulia nyeti zake kwasababu anajua fika hawezi pambana na upinzani kwa hoja bali polisi!!

#MAGUMUSTGO
#MEMBEFORPRESIDENCY
#CHADEMAIDUMU
 
Ana mapungufu that is very true bahati mbaya hakunaga rais malaika.HE IS THE PERFECT MATCH kwa rais kwa hali ambayo nchi yetu ilikuwa imefikia.
 
Membe anaweza kuwa bora kuliko huyo jamaa jiwe asee!

Mimi kama mpinzani najua kipindi hiki ikulu hakuingiliki huku majimboni ndio kabisa amepanga kuwaondoa wabunge wa upinzani.

Kwanini tuishi kama watumwa kwenye nchi yetu ambayo mababu zetu walirisk maisha yao kwa ajili yetu ili tuje kuishi kwa AMANI na UPENDO

Na kuhusu katiba mpya hapo ni kama umechungulia nyeti zake kwasababu anajua fika hawezi pambana na upinzani kwa hoja bali polisi!!

#MAGUMUSTGO
#MEMBEFORPRESIDENCY
#CHADEMAIDUMU
Hahaha #JIBEBE RAISI AJAYE NI JPM
 
Kojoa ulale kesho shule ,mnajifanya mnahasira kumbe ndio vinara wa kukumbatia ccm
 
Upinzani wa kweli ni baada ya CCM kuanguka ,sijui nani alisemaga hivi..?? ila hii ni dalili nzuri kwetu,lol..Magufuli must go!,aliona anapendwa akaona afanye anavyotaka,sasa ngoja aonje kidogo dawa aliyoitengeneza..lols
Ni lazima jiwe atawale miongo miwili no matter what
 
Back
Top Bottom