Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 166
- 452
Tupeane Uzoefu wa Tabia za Wenyeji wako, ulizo kutana nazo kwa Jiran yako wa mpakani au mtaa ulio jenga na kuhamia au ulipo nunua kiwanja umepokelewaje? Vipi wenyeji wa pande zote za nyumba au eneo lako? Kuna kosekana wivu na gubu kwa jirana zako? au ndio ile ushazoea husemezani nao? Au umepata wenyeji wema sana?
Kuna Mada nimeziona mitandaon watu wakizungumzia uzoefu wa jinsi ya kuhami makazi mapya na jinsi wenyeji wenye hila walivyo wasumbua, wengine kuugua sana na uchumi kuharibika mazima, wengine kununiwa na wengine kujikuta wanatengwa bila sababu, wengine wana dai uchawi ulikuwa si wakawaida walikaribishwa kwakupimwa uwezo wao kama wana nguvu au lah.
Vipi wewe unauzoefu gani wa kushare na sisi??
Je! nikweli kabla ya kuhamia nyumba mpya anahitajika kiongozi wa kiroho aje kuomba na kama wewe ni wagiza lazima mganga aje kufanya mambo?
Tupeane visa na jinsi ulivyp kabiliana navyo maana kuna watu wanahitaji kujifunza wavuke vikwazo hivyo.. na wengine wametamani hata kuuza nyumba wahame.