Mlinzi wa Mfalme Oman Mbaroni

Mlinzi wa Mfalme Oman Mbaroni

Serikali iliyopita ya JK ilikuwa ya wapiga dili tu, nani alijali udhibiti wa raslimali za taifa, zilimhusu nini? Kama twiga anaweza kusafirishwa kwenye ndege pasipo kujulikana ni vingapi vilipita kabla? Huyu aliyekamata fuvu leo kwa maana ya taasisi alishindwaje kukamata wanyama zaidi ya 100 akiwamo twiga waliotoroshewa Uarabuni? Intelijensia ya vyombo vyetu vya dola huishia kupiga ramli ya kuwepo uvunjifu wa amani wakati vyama vya upinzani vikitaka kufanya maandamano au mikutano. Lakini intelijensia ya kutambua utoroshwaji wa nyara za taifa, utoroshwaji wa makontena yasiyolipiwa kodi, hujuma za ufujaji wa fedha kwenye taasisi za umma, mikataba mibovu nk, hizo huwa hawaziono.

Hivi hao wahusika huwa wanasoma maneno kuntu kama hayo bolded?
 
Unaonaje akikamatwa yule mpiga deal wenu mkuu akanyoosha maelezo kwa vitu alivyosafirisha na mkiwa mnamsifia kila kwa muda wote?

Nani alikuwa anamsifia nitake radhi tafadhari, sisi sote ni watanzania, juhudi zinazofanyika zinapaswa kuungwa mkono, twiga hai walikuwa wanapakiwa kwenye ndege hata aibu yaani ilikuwa pabaya.
 
Serikali iliyopita ya JK ilikuwa ya wapiga dili tu, nani alijali udhibiti wa raslimali za taifa, zilimhusu nini? Kama twiga anaweza kusafirishwa kwenye ndege pasipo kujulikana ni vingapi vilipita kabla? Huyu aliyekamata fuvu leo kwa maana ya taasisi alishindwaje kukamata wanyama zaidi ya 100 akiwamo twiga waliotoroshewa Uarabuni? Intelijensia ya vyombo vyetu vya dola huishia kupiga ramli ya kuwepo uvunjifu wa amani wakati vyama vya upinzani vikitaka kufanya maandamano au mikutano. Lakini intelijensia ya kutambua utoroshwaji wa nyara za taifa, utoroshwaji wa makontena yasiyolipiwa kodi, hujuma za ufujaji wa fedha kwenye taasisi za umma, mikataba mibovu nk, hizo huwa hawaziono.

Umenikosha Mno Mkuu!! Kama Vile Ulikuwa Kichwani Mwangu!! Tena Wanyama Wametolewa Mbugani, Ambako Kuna Walinzi Ambao Ni Wakali Mno Kwa WANANCHI Wanaenda KUKATA KUNI, Kuchunga Mifugo Tena Kwa Bahati Mbaya!! Ila Twiga Na Wanyama Wale Walitolewa Kilaini Na KUPELEKWA Airport, Njia Nzima Hakuna Askari Yeyote Wa Doria Au Usalama Barabarani Aliyeona!! Na Pale Airport HAKUNA Usalama Wa TAIFA, Maafisa Wa Mali Ya Asili, Mifugo, INTEREJENSIA, JWTZ, Uhamiaji, Polisi, TRA Na Maafisa Wa Viwanja Vya NDEGE Ambaye Aliweza KUONA Ufisadi Huo!! Na NDEGE Ilikuwa Imepaki Uwanjani Hapo Hapo Na Nyingine Zikitua Huko Huko Mbugani!!!! Hii Nchi Ni MAJANGA Mkuu!!
 
Masahihisho kwa mujibu wa Magazeti leo asubuhi RFA Ni Mlinzi wa Mfalme wa QATAR siyo Mfalme wa OMAN jifunze kusikiliza na kusoma kabla hujapost au hiyo QATAR umeshindwa kuindika.Usikurupuke KUPOST wengi tunasoma na inaleta Taaswira tofauti hata ktk Mahusiano
 
Jengeni tabia ya kuwa wavumilivu wakati serikali inatekeleza majukumu yake. Hoja ya kwamba kwa nini haishughulikii suala la twiga hai pale ushahidi utakapokamilika utalisikia. Lakini haiwezekani leo serikali iache kushughulikia matukio yenye ushahidi wa wazi eti kwa kuogopa kuwa huko nyuma kuna shauri kama hilo au linalofanana na hilo halikushughulikiwa.
 
Nadhani Umekurupuka Mkuu, Hakuna MTANZANIA Ambaye Ameshindwa Kujenga Huo UVUMILIVU Wako, Ndio Maana Tupo Hapa Kuwakumbusha Viongozi Wetu, Kuwa Kuna Hili, Lile Na Lile Bado Hayajachukuliwa Hatua Kisheria!! Hivi Hilo La Kusafarisha Twiga Na Wanyama Wengine Hai Halina Ushaidi, Kama Ww Unavyotaka Kutopotosha WATANZANIA Tuliona Na Machungu Na Ufisadi, Ubadhilifu, Wizi, Rushwa Na Matumizi Mabaya Ya Ofisi / Madaraka!! Nikuulize Ww Hivi Twiga Anaweza Vipi Kukamatwa Mbugani, Na Kupakiwa Garini Hadi Airport, Na Hatimaye Ndegeni Na Ndege Ikaruka Na Kutokomea Zake, Ila Kote Kuanzia Mbugani Hadi Airport Kote Hakuna Maafisa Wahusika Walioko Zamu WALIOONA Mchezo Huo?? Je, Waliokuwa MAENEO Yote Hayo Siku Ya Tukio Wamechukuliwa Hatua Gani!!!?? Na Hao Waliowatuma!!!???
 
Mlizi wa mfalme wa Oman akamatwa kwa kusafirisha fuvu la taiga kwenda Oman.
hii siyo breaking news kwa wanajf wengi swali langu kama anaesafirisha fuvu anakamatwa vipi waliosafirisha twigs wakiwa Hai..
au kwa kuwa ilikuwa dili la serikali...

usikurupuke kama huna kithibitisho....source na picha weka hapa tuone..
 
Badala ya kupongeza unalaumu kwa hiyo ulitaka wamwachie yaani vijana wa CHADEMA ni janga la kitaifa. ulitakiwa kutoa pongezi kwa sababu huko nyuma walikuwa hawakamatwi.

usiamini hivhiv bila ushaidi wowote...alete habari kamili na picha atuwekee hapo ndipo tutaamini...otherwise kaamua kupotosha wasiojielewa
 
jamani "taiga" ndio kiumbe gani na Oman ni nchi gani na mfalme wake ni nani?kabla sijachangia!
 
Tungekuwa enzi zile angepigiwa saluti na kuruhusiwa kupita halafu yeye kwa 'roho nzuri' yake angewapatia oakiti za tende ma aruwa na wao wangezipokea na wangeshukuru sana, wangepwleka nyumbani kwa familia zao ili nazo ziambuliepo keki ya taifa
 
Back
Top Bottom