Mlimuona Mwakyembe jana? Ana kipaji cha ajabu...

Tanzania yetu imebarikiwa wanasiasa wenye vipaji vya ajabu...

Kikwete anatajwa vipaji vingi tu ikiwemo kushawishi watu wamuunge mkono
akiwahiidi hiki na asiwape. Sitta sasa tunagundua alikuwa na kipaji cha kutumia wanasiasa wote tu wa upinzani na wa chama chake kufikia malengo yake.

Jana watu tulimuona Mwakyembe akionesha kipaji kingine kabisa,kipaji cha 'kugusa watu' kupitia msiba.

Jana watu walimuona Mwakyembe akilia na kuliza watu akimsifia Sitta na kusema yeye Mwakyembe nae ni 'mwanafunzi' wa Sitta.

Ilkuwa kama kumuona mwanafunzi akimlilia mwalimu wake aliyemkubali kuliko wote.

cha ajabu Mwakyembe huyu huyu 'anampinga kabisa Sitta' kwa matendo.

Sitta anasifiwa kwa bunge lenye meno,Mwakyembe anashiriki kuliondoa bunge la sasa meno.

Siita anasifika kuheshimu wapinzani na kuwapa nafasi,Mwakyembe anashiriki kuwakandamiza.

Sitta alisifika kwa uhuru wa vyombo vya habari hasa bunge live, Mwakyembe anashiriki kuua yote hayo.

Sitta alisifika kwa kupenda sheria na kanuni ziheshimiwe,Mwakyembe yuko tayari kuzipinda au hufurahia zikikiukwa mradi tu serikali ipate inachotaka.

Mwakyembe kaenda mbali zaidi kunukuliwa akisema 'taifa sasa halihitaji katiba mpya'.

Huku Sitta akiwa ndio mwenyekiti wa bunge la katiba iliyobaki kupigiwa kura tu.

Sitta atakumbukwa pia kwa kutokuwa mtu wa kujipendekeza kwa Rais au serikali bali misimamo ndo ilikuwa inampa nguvu, Mwakyembe amewahi kunukuliwa akimsifia Magufuli katika namna unayoweza kuiita ni kujipendekeza.

Wakati jana Mwakyembe anamlilia kwa nguvu Sitta nilibaki najiuliza Mwakyembe huyu hiki kilio ni cha moyoni au 'anatuonesha' tu kipaji chake kingine?

Nchi hii wanasiasa wana vipaji vingi sana kama kipaji cha kinyonga kubadili rangi kila mara.
Na vipaji hivi ni kwa pande zote mbili.....tawala na pinzani
 
Eti Mungu anawajibi!! Hivi mtu akifa ina maana Mungu anakuwa amemuadhibu?? Wanaofariki wote inatokana na makosa yao kwa binadamu wengine?? Embu tumieni akili jamani, mnaudhi. Huyo Lowassa wenu nae atakufa. Je na yeye atakufa kisa kamkosea mwanadamu mwingine??!!! Wote njia yetu ni hiyo. Na mwenzetu akitangulia basi tumtakie mema huko alikoenda. Sio mlete siasa zenu hapa.
Unamtakiaje mema aliyekufa wakati yeye akiwa Hai hakuwatakia mema wenzake zaidi ya kuwatakia kifo? Hii ndiyo dunia, kila mtu añatakiwa abebe msalaba wake
 
Ms

Hisia za msiba au kufa mtu ni tofauti na mambo ya kazi ,ya kwenye msiba tuache yawe ya msibani.
Kwani msiba kitu gani nyie ndo mnaamini mtu akifariki tayari anafutiwa makosa yake au aipaswi kusema makosa aliyofanya marehemu tenda mema kabla ujafa tatizo kiburi cha uzima kinawasumbua
 
Kaka The Boss hujakosea...
Hamna mtu mnafiki kama Mwakyembe na jana amelidhihirisha hilo.
Unamlilia mtu ambae matendo yake na yako ni vitu viwili tofauti... Aibu iliyoje..!!
Maana kwa yale yote ambayo Sitta alikuwa ameyafanya kwa upande wa Mwakyembe ni opposite in a negative way..!!
Mwakyembe na Makonda ndio wemeonekana wakimlilia Sitta hadharani lakini hawana chembe ya mfanano wa lolote lile ni bora wangelia kimya kimya lakini kwa kuzungumza na kumuelezea marehemu kwa mazuri wakati wewe unayoyafanya ni kinyume chake ni AIBU kabisa.

Binafsi katika wanasiasa wanafiki nimewahi kuwajua ni marehemu, na hao waliaji wawili.
 
mtoa mada umeniwahi tu. Mwakyembe kaonyesha kipaji cha ajabu tena kilichojipambanua. Eti ni mwanafunzi wa Sitta? ilihari matendo n opposite na mwalimu wake. Miswada anayoileta inafunga bunge na uhuru wa habari pamoja na kulelewa na vyombo vya habari. Ama kweli haya maajabu.
 
Tanzania yetu imebarikiwa wanasiasa wenye vipaji vya ajabu...

Kikwete anatajwa vipaji vingi tu ikiwemo kushawishi watu wamuunge mkono
akiwahiidi hiki na asiwape. Sitta sasa tunagundua alikuwa na kipaji cha kutumia wanasiasa wote tu wa upinzani na wa chama chake kufikia malengo yake.

Jana watu tulimuona Mwakyembe akionesha kipaji kingine kabisa,kipaji cha 'kugusa watu' kupitia msiba.

Jana watu walimuona Mwakyembe akilia na kuliza watu akimsifia Sitta na kusema yeye Mwakyembe nae ni 'mwanafunzi' wa Sitta.

Ilkuwa kama kumuona mwanafunzi akimlilia mwalimu wake aliyemkubali kuliko wote.

cha ajabu Mwakyembe huyu huyu 'anampinga kabisa Sitta' kwa matendo.

Sitta anasifiwa kwa bunge lenye meno,Mwakyembe anashiriki kuliondoa bunge la sasa meno.

Siita anasifika kuheshimu wapinzani na kuwapa nafasi,Mwakyembe anashiriki kuwakandamiza.

Sitta alisifika kwa uhuru wa vyombo vya habari hasa bunge live, Mwakyembe anashiriki kuua yote hayo.

Sitta alisifika kwa kupenda sheria na kanuni ziheshimiwe,Mwakyembe yuko tayari kuzipinda au hufurahia zikikiukwa mradi tu serikali ipate inachotaka.

Mwakyembe kaenda mbali zaidi kunukuliwa akisema 'taifa sasa halihitaji katiba mpya'.

Huku Sitta akiwa ndio mwenyekiti wa bunge la katiba iliyobaki kupigiwa kura tu.

Sitta atakumbukwa pia kwa kutokuwa mtu wa kujipendekeza kwa Rais au serikali bali misimamo ndo ilikuwa inampa nguvu, Mwakyembe amewahi kunukuliwa akimsifia Magufuli katika namna unayoweza kuiita ni kujipendekeza.

Wakati jana Mwakyembe anamlilia kwa nguvu Sitta nilibaki najiuliza Mwakyembe huyu hiki kilio ni cha moyoni au 'anatuonesha' tu kipaji chake kingine?

Nchi hii wanasiasa wana vipaji vingi sana kama kipaji cha kinyonga kubadili rangi kila mara.
Kweli kabisa Kaka..
 
Mwakyembe anaililia nafsi yake kwani ile "sumu" iliyompeleka India ndiyo kwanza imeanza kumpekecha.....

Siafiki hoja ya Sita alisimamia haki bali kama Mwakyembe walishirikiana kubeza rasimu ya Warioba ili kujisafishia njia ya Ikulu ambao wote walitemwa.
 
Tanzania yetu imebarikiwa wanasiasa wenye vipaji vya ajabu...

Kikwete anatajwa vipaji vingi tu ikiwemo kushawishi watu wamuunge mkono
akiwahiidi hiki na asiwape. Sitta sasa tunagundua alikuwa na kipaji cha kutumia wanasiasa wote tu wa upinzani na wa chama chake kufikia malengo yake.

Jana watu tulimuona Mwakyembe akionesha kipaji kingine kabisa,kipaji cha 'kugusa watu' kupitia msiba.

Jana watu walimuona Mwakyembe akilia na kuliza watu akimsifia Sitta na kusema yeye Mwakyembe nae ni 'mwanafunzi' wa Sitta.

Ilkuwa kama kumuona mwanafunzi akimlilia mwalimu wake aliyemkubali kuliko wote.

cha ajabu Mwakyembe huyu huyu 'anampinga kabisa Sitta' kwa matendo.

Sitta anasifiwa kwa bunge lenye meno,Mwakyembe anashiriki kuliondoa bunge la sasa meno.

Siita anasifika kuheshimu wapinzani na kuwapa nafasi,Mwakyembe anashiriki kuwakandamiza.

Sitta alisifika kwa uhuru wa vyombo vya habari hasa bunge live, Mwakyembe anashiriki kuua yote hayo.

Sitta alisifika kwa kupenda sheria na kanuni ziheshimiwe,Mwakyembe yuko tayari kuzipinda au hufurahia zikikiukwa mradi tu serikali ipate inachotaka.

Mwakyembe kaenda mbali zaidi kunukuliwa akisema 'taifa sasa halihitaji katiba mpya'.

Huku Sitta akiwa ndio mwenyekiti wa bunge la katiba iliyobaki kupigiwa kura tu.

Sitta atakumbukwa pia kwa kutokuwa mtu wa kujipendekeza kwa Rais au serikali bali misimamo ndo ilikuwa inampa nguvu, Mwakyembe amewahi kunukuliwa akimsifia Magufuli katika namna unayoweza kuiita ni kujipendekeza.

Wakati jana Mwakyembe anamlilia kwa nguvu Sitta nilibaki najiuliza Mwakyembe huyu hiki kilio ni cha moyoni au 'anatuonesha' tu kipaji chake kingine?

Nchi hii wanasiasa wana vipaji vingi sana kama kipaji cha kinyonga kubadili rangi kila mara.
unalaana wewe so bure
 
mimi nadhani angeshangaza zaidi kama angeonekana anacheka na kumkandia marehemu.
Kaka The Boss hujakosea...
Hamna mtu mnafiki kama Mwakyembe na jana amelidhihirisha hilo.

Unamlilia mtu ambae matendo yake na yako ni vitu viwili tofauti... Aibu iliyoje..!!
Maana kwa yale yote ambayo Sitta alikuwa ameyafanya kwa upande wa Mwakyembe ni opposite in a negative way..!!
Mwakyembe na Makonda ndio wemeonekana wakimlilia Sitta hadharani lakini hawana chembe ya mfanano wa lolote lile ni bora wangelia kimya kimya lakini kwa kuzungumza na kumuelezea marehemu kwa mazuri wakati wewe unayoyafanya ni kinyume chake ni AIBU kabisa.
 
Kuna jamaa huwa wanasema kwamba ili mwanaume aweze kulia au kuigiza kulia msibani ni lazima agonge pakiti mbili tatu za virober...
Sijui ni kweli...... a do no.
 
Back
Top Bottom