Mlimuona Mwakyembe jana? Ana kipaji cha ajabu...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,671
Tanzania yetu imebarikiwa wanasiasa wenye vipaji vya ajabu...

Kikwete anatajwa vipaji vingi tu ikiwemo kushawishi watu wamuunge mkono
akiwahiidi hiki na asiwape. Sitta sasa tunagundua alikuwa na kipaji cha kutumia wanasiasa wote tu wa upinzani na wa chama chake kufikia malengo yake.

Jana watu tulimuona Mwakyembe akionesha kipaji kingine kabisa,kipaji cha 'kugusa watu' kupitia msiba.

Jana watu walimuona Mwakyembe akilia na kuliza watu akimsifia Sitta na kusema yeye Mwakyembe nae ni 'mwanafunzi' wa Sitta.

Ilkuwa kama kumuona mwanafunzi akimlilia mwalimu wake aliyemkubali kuliko wote.

cha ajabu Mwakyembe huyu huyu 'anampinga kabisa Sitta' kwa matendo.

Sitta anasifiwa kwa bunge lenye meno,Mwakyembe anashiriki kuliondoa bunge la sasa meno.

Siita anasifika kuheshimu wapinzani na kuwapa nafasi,Mwakyembe anashiriki kuwakandamiza.

Sitta alisifika kwa uhuru wa vyombo vya habari hasa bunge live, Mwakyembe anashiriki kuua yote hayo.

Sitta alisifika kwa kupenda sheria na kanuni ziheshimiwe,Mwakyembe yuko tayari kuzipinda au hufurahia zikikiukwa mradi tu serikali ipate inachotaka.

Mwakyembe kaenda mbali zaidi kunukuliwa akisema 'taifa sasa halihitaji katiba mpya'.

Huku Sitta akiwa ndio mwenyekiti wa bunge la katiba iliyobaki kupigiwa kura tu.

Sitta atakumbukwa pia kwa kutokuwa mtu wa kujipendekeza kwa Rais au serikali bali misimamo ndo ilikuwa inampa nguvu, Mwakyembe amewahi kunukuliwa akimsifia Magufuli katika namna unayoweza kuiita ni kujipendekeza.

Wakati jana Mwakyembe anamlilia kwa nguvu Sitta nilibaki najiuliza Mwakyembe huyu hiki kilio ni cha moyoni au 'anatuonesha' tu kipaji chake kingine?

Nchi hii wanasiasa wana vipaji vingi sana kama kipaji cha kinyonga kubadili rangi kila mara.
 
Kaka The Boss hujakosea...
Hamna mtu mnafiki kama Mwakyembe na jana amelidhihirisha hilo.
Unamlilia mtu ambae matendo yake na yako ni vitu viwili tofauti... Aibu iliyoje..!!
Maana kwa yale yote ambayo Sitta alikuwa ameyafanya kwa upande wa Mwakyembe ni opposite in a negative way..!!
Mwakyembe na Makonda ndio wemeonekana wakimlilia Sitta hadharani lakini hawana chembe ya mfanano wa lolote lile ni bora wangelia kimya kimya lakini kwa kuzungumza na kumuelezea marehemu kwa mazuri wakati wewe unayoyafanya ni kinyume chake ni AIBU kabisa.
 
Tanzania yetu imebarikiwa wanasiasa wenye vipaji vya ajabu...

Kikwete anatajwa vipaji vingi tu ikiwemo kushawishi watu wamuunge mkono
akiwahiidi hiki na asiwape....Sitta sasa tunagundua alikuwa na kipaji cha kutumia wanasiasa
wote tu..wa upinzani na wa chama chake kufikia malengo yake..

Jana watu tulimuona Mwakyembe..akionesha kipaji kingine kabisa....
kipaji cha 'kugusa watu' kupitia msiba.....

Jana watu walimuona Mwakyembe akilia na kuliza watu......akimsifia Sitta
na kusema yeye Mwakyembe nae ni 'mwanafunzi' wa Sitta....
ilkuwa kama kumuona mwanafunzi akimlilia mwalimu wake aliemkubali kuliko wote

cha ajabu Mwakyembe huyu huyu 'anampinga kabidsa Sitta' kwa matendo

Sitta anasifiwa kwa bunge lenye meno,Mwakyembe anashiriki kuliondoa bunge la sasa meno

Siita anasifika kuheshimu wapinzani na kuwapa nafasi,Mwakyembe anashiriki kuwakandamiza

Sitta alisifika kwa uhuru wa vyombo vya habari hasa bunge live
Mwakyembe anashiriki kuua yote hayo

Sitta alisifika kwakupenda sheria na kanuni ziheshimiwe,Mwakyembe yuko tayari kuzipinda
au hufurahia zikikiukwa mradi tu serikali ipate inachotaka....

Mwakyembe kaenda mbali zaidi kunukuliwa akisema 'taifa sasa halihitaji katiba mpya'
huku Sitta akiwa ndo mwenyekiti wa bunge la katiba iliyobaki kupigiwa kura tu.....

Siita atakumbukwa pia kwa kutokuwa mtu wa kujipendekeza kwa Rais au serikali bali misimamo
ndo ilikuwa inampa nguvu, Mwakyembe amewahi kunukuliwa akimsifia Magufuli katika namna unayoweza kuiita ni kujipendekeza........

Wakati jana Mwakyembe anamlilia kwa nguvu Sitta nilibaki najiuliza....Mwakyembe huyu
hiki kilio ni cha moyoni au 'anatuonesha' tu kipaji chake kingine?

Nchi hii wanasiasa wana vipaji vingi sana....kama kipaji cha kinyonga kubadili rangi kila mara...
Mkuu umedadavua vyema, wanapishana na kutofautiana sana hawa watu wawili.
Mwakyembe wa miaka ile angeweza kufanana na Sitta lakini sio Mwakyembe wa sasa
 
Anakipaji cha unafiki
 
Mkuu umedadavua vyema, wanapishana na kutofautiana sana hawa watu wawili.
Mwakyembe wa miaka ile angeweza kufanana na Sitta lakini sio Mwakyembe wa sasa
Ata kdgo
.
Yule.sitta na Yule mwakyembe.

Wangefanana kvp
 
Tanzania yetu imebarikiwa wanasiasa wenye vipaji vya ajabu...

Kikwete anatajwa vipaji vingi tu ikiwemo kushawishi watu wamuunge mkono
akiwahiidi hiki na asiwape....Sitta sasa tunagundua alikuwa na kipaji cha kutumia wanasiasa
wote tu..wa upinzani na wa chama chake kufikia malengo yake..

Jana watu tulimuona Mwakyembe..akionesha kipaji kingine kabisa....
kipaji cha 'kugusa watu' kupitia msiba.....

Jana watu walimuona Mwakyembe akilia na kuliza watu......akimsifia Sitta
na kusema yeye Mwakyembe nae ni 'mwanafunzi' wa Sitta....
ilkuwa kama kumuona mwanafunzi akimlilia mwalimu wake aliemkubali kuliko wote

cha ajabu Mwakyembe huyu huyu 'anampinga kabidsa Sitta' kwa matendo

Sitta anasifiwa kwa bunge lenye meno,Mwakyembe anashiriki kuliondoa bunge la sasa meno

Siita anasifika kuheshimu wapinzani na kuwapa nafasi,Mwakyembe anashiriki kuwakandamiza

Sitta alisifika kwa uhuru wa vyombo vya habari hasa bunge live
Mwakyembe anashiriki kuua yote hayo

Sitta alisifika kwakupenda sheria na kanuni ziheshimiwe,Mwakyembe yuko tayari kuzipinda
au hufurahia zikikiukwa mradi tu serikali ipate inachotaka....

Mwakyembe kaenda mbali zaidi kunukuliwa akisema 'taifa sasa halihitaji katiba mpya'
huku Sitta akiwa ndo mwenyekiti wa bunge la katiba iliyobaki kupigiwa kura tu.....

Siita atakumbukwa pia kwa kutokuwa mtu wa kujipendekeza kwa Rais au serikali bali misimamo
ndo ilikuwa inampa nguvu, Mwakyembe amewahi kunukuliwa akimsifia Magufuli katika namna unayoweza kuiita ni kujipendekeza........

Wakati jana Mwakyembe anamlilia kwa nguvu Sitta nilibaki najiuliza....Mwakyembe huyu
hiki kilio ni cha moyoni au 'anatuonesha' tu kipaji chake kingine?

Nchi hii wanasiasa wana vipaji vingi sana....kama kipaji cha kinyonga kubadili rangi kila mara...
laiti kama viongozi wetu wangekuwa wanajua matatizo yanayowapata watz huku mtaani, nadhani kila mbunge au kiongozi angekuwa analia zaidi ya pale. unfortunately, wengi wanalia tu wakati wa msiba pale kiongozi mwenzao anapofariki. majonzi kama yale aliyoyaona jana, ndiyo yaliyojaa vijijini na mijini kwa watu masikini kila siku.lakini wamemwachia Mungu.
 
Mwakyembe huyu unayemwona leo siyo yuleee aliyepelekwa kutibiwa India, baada ya kurudi ndipo alipogundua kwamba hawa watu siyo wa kupingana nao bali kuungana nao.

Ninamfahamu Mwakyembe kabla na baada, hata Sitta wa Bunge la Katiba ni mwingine kabisa, na ikumbukwe moja ya watu walikuwa bega kwa bega kutaka kuanzisha CCJ ni hawa. Baada ya kuona mziki siyo wenyewe walikubali kunyoosha mikono.
 
hata mimi niliona kipaji cha mbowe na lissu ni hatari sana, 8years walivokuwa wakiimba ule mwimbo juu ya lowassa na mwimbo wanaoimba sasa kweli tz inavipaji vya ajabu...hongera kwa wanasiasa wa tanzania wakiongozwa na mzee wa kubadili gia angani mbowe
 
Anafanya kabisa kumiliki kikundi cha waombolezaji.....!
hahahahahaaaa........eti akalia,watu wanafiki wa kufa mtu,aliniboa kabisa,yaani tulia ackson hakulia,

alikuwa analia mama magreth sitta,na mwakyembe tu!!

hihiiihhhiiii....sittaaa,hihhihiiiiii jamani sitta wangu
 
Back
Top Bottom