Mlimani city waweka CCTV (kamera chapa mtu)

na on top of that kuna lijamaa hapo kwa chini linaomba wakitoka shift akamnnunulie
kitimoto pahali wapige story...............laz,ma waibiwe


na isitoshe hapo kwenye picha ya pili kuna magari nyuma yake.....anayalindaje....
 
hahhahah .....waafrica hamnazo kweli ...tukiambiwa kuwa tuna iq ndogo tunabishaaaaaaaa hadi mimate na mapovu yanatutoka ..sasa hiki ni nini?
picha kwa hisani ya michuzi
IMG_0713.jpg

Sera ya CCM ni kuongeza ajira, wakiweka CCTV camera hizo CCTV ugali zinazoimbishana na kusahau lindo zitakula wapi?
 
wawekezaji wa Mlimani City wawe makini na suala la ulinzi kwani ndilo linalowakimbiza wateja pale, aidha watambue kuwa suala la shopping mall halijazoeleka hapa kwetu na wateja wengi ni wale wenye vijiusafiri vyao hivyo lazima wawahakikishie ulinzi wa magari yao vinginevyo watakosa wateja.
 
huu ndo ubunufi wetu wa pili baada ya ubunifu wa chipsi mayai a7.ka zege
 
Wakuu, katika mazingira yetu, cctv pale kwenye parking cant work. Kumonitor screens zote sio kazi rahisi kiivo, cctv zinasaidia ku-ID mtu pale ambapo hakuonekaana. Sasa mkuu, unaweza kum-ID nani hapa bongo? Kwa database ipi?
Issue hapa ni kuzuia uhalifu kwa rungu.
 
cctv kwa dar haisaidii sababu hakuna database ya raia. sasa hata ukimuona mtu inakuwaje? unaanzia wapi kumtafuta? unless kuwe na 24hr security service nearby, ready to take action? which takes us back to this option, they just skipped the CCTV

Hivi tenda ya National ID imeshapita? If so, lini implementation inaanza?
 
watu wamepata ajira mnaleta majungu. toeni ushauri wa kuboresha. acheni hizo za kuhukumu kila kitu.
 
Moja nusura lidondoke juzi, kumbe lilikua linasinzia na kile kibanda sijui hakijakaa vizuri au sijui jamaa aliota yuko kwenye ndege halafu ndege inaanguka! Jamaa kashtuka kaanza kupiga kelele, kujistukia tu kakuta watu wanacheka! wee kawa mbogo!

ha ha ha kawa mbogo anataka kuwapiga wanao mcheka nini?
 
Tunacheka kilichofanywa na Mlimani City lakini kwa kweli mimi nawapongeza sana. Huyo mlinzi aliye kwenye hicho kibanda anaweza kuingilia kati mara moja jambo likitokea.

Wale wanotaka CCTV kwa kweli huo siyo ustaarabu wetu. Bado sana kwa Tanzania, labda kwenye mabenki ambao wameombwa na serikali kuweka hivyo vifaa. Hata ukimnasa mwizi kwenye CCTV utampata wapi? Hata ukifanikiwa kumkamata siku zinazofuatia utamfanyaje? Uwahonge Police kwanza ndiyo wampeleke mahakamani? wewe uliyepoteza gari au kifaa kwenye gari utaweza kwenda mahakamani mara mia 200 kwa sababu ya kesi kuahirishwa kila siku? Tusijilinganishe. Bado tupo nyuma mno.

Tanzania ni nchi ambayo watu tunapenda sana kupiga domo. Hatupendi kufikiri namna ya kutatua matatizo yanayotukabili. Bongolala. Katika miaka yote hii sijasoma mahali kuwa Police wamevamia pale Gerezani au Kariakoo kukamata watu wanaouza vifaa vilivyonyofolewa kwenye magari ya watu. Wanyofoaji wanafahamika na wengi pamoja na Police lakini hakuna kinachotendeka. Kisingizio ni nini?
 
Moja nusura lidondoke juzi, kumbe lilikua linasinzia na kile kibanda sijui hakijakaa vizuri au sijui jamaa aliota yuko kwenye ndege halafu ndege inaanguka! Jamaa kashtuka kaanza kupiga kelele, kujistukia tu kakuta watu wanacheka! wee kawa mbogo!


Bwa...hahaha...haha.....
 
mlimani city wanatakiwa wawe na security control room na security guards wanaofanya patrol ili control room wakiona kitu wawasiliane na guards kwa kutumia radio call. Zipo inteligent cameras ambazo ni rahisi kufanya monitoring.
Ndio nimesema, lazima wachange hizo patrol za security na CCTV, OR they can just do a permanent security point at a strategic point. na inaonekana ndio option yao hiyo...
Ila wamefanya vizuri coz pale Mili-City wizi ulikua just too much.
 
Back
Top Bottom