Mlimani City: Useless

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
I still dont get it. A film gets a WORLD WIDE premiere but these lot wanasubiri 3 months to get a new film!

Another disappointment ni ZADOCK and his fantacy DAR VILLAGE ambayo we thought might bring something new hapa mjini lakini wapi!!

Cant these idi*ots go to Nairobi and see how serious investors wanavyoperate?

No wonder every tom dick and harry Dar hana jipya zaidi ya kuwa mlevi yaani watu hawana cha zaidi ya kukaa kwenye baaa kunywa wee kisha haooo wanaenda kumungunyuana
 
Kumungunyuana manake nini?
 
Pole GT, you sound really pissed. What exactly happened here? You were waiting for a movie that never showed? Au ni "This is It"? Nadhani hao owners wa movie theatre hawataki kutumia fedha nyingi kuagiza movies hivyo husubiri kwanza muda baada ya film fulani kubwa kubwa kutoka na gharama kupungua ndipo huagiza.

Who is Zadock and where is this Dar village exactly? Ni shopping mall?

I otherwise totally agree with you ( ingawa sijui maana ya "kumungunyana") kuwa by investors seriously investing in meaningful entertainment/ shopping areas in Dar and TZ as a whole, it will greatly reduce the great number of people who resort to drinking and nyama choma because they simply have no alternative entertainment!!
 
Sasa 'Mlimani City' complex nzima inakuwa useless kwa sababu mpangaji mmoja mwenye ukumbi wa senema hajanunua movie iliyopo kwenye chat? What kind of logic is this?
 
U pointed it so right Abdulhalim!
Kwake, SAMAKI MMOJA AKIOZA...!
After all you might find that mwenyewe ameona hiyo cinema haitawafurahisha wabongo in one way or another/ or haitamlipa accordingly!
 
Ah si aweke sinema za akina Kigosi na Kanumba bana hazihitaji hela nyingi wao bora wauze sura bana,salimia aunt ezekiel hah hah
 
I still dont get it. A film gets a WORLD WIDE premiere but these lot wanasubiri 3 months to get a new film!

Another disappointment ni ZADOCK and his fantacy DAR VILLAGE ambayo we thought might bring something new hapa mjini lakini wapi!!

Cant these idi*ots go to Nairobi and see how serious investors wanavyoperate?

No wonder every tom dick and harry Dar hana jipya zaidi ya kuwa mlevi yaani watu hawana cha zaidi ya kukaa kwenye baaa kunywa wee kisha haooo wanaenda kumungunyuana
Huyo ndio GT mwingine photocopy. Sio Mchezo
 
The only intesting thing pale ni kile kitoto chenywe mwanya pale dirishani hakiishi kunchekeachea nikienda pale

siku moja alitoka mle duh! khatari

anyway ile MIPANYA BUKU bado ime mle kwenye ukumbu na pili lile genereta bado lazimika zimika

ZADOCK tusamehe kwa kukutukana hebu tufungulie hiyo DAR VILLAGE jamani!
 
Unafahamu ZADOCK alikuwa na bomba linatoa maji mengi sasa hilo bomba limefungwa na mwenye funguo hataki maji yake yapotee bure. Bongo investments Dar village. mlimani city bado ni bomba
 
The only intesting thing pale ni kile kitoto chenywe mwanya pale dirishani hakiishi kunchekeachea nikienda pale

siku moja alitoka mle duh! khatari

anyway ile MIPANYA BUKU bado ime mle kwenye ukumbu na pili lile genereta bado lazimika zimika

ZADOCK tusamehe kwa kukutukana hebu tufungulie hiyo DAR VILLAGE jamani!

Mkuu Twilight haija-premier nini huko?Mbona umepata hasira hivyo?
 
Aisee Amani GK, have you realized how these days the movie industry is dominated by horror movies? Twilight/ New Moon, The Fourth Kind, Paranormal activity, Cirque du Freak....yaani, mi huwa nashindwa kuchagua movie ya kuangalia kama nikienda cinema impromptu bila kujua kinachoonyeshwa.
 
I still dont get it. A film gets a WORLD WIDE premiere but these lot wanasubiri 3 months to get a new film!

Another disappointment ni ZADOCK and his fantacy DAR VILLAGE ambayo we thought might bring something new hapa mjini lakini wapi!!

Cant these idi*ots go to Nairobi and see how serious investors wanavyoperate?

No wonder every tom dick and harry Dar hana jipya zaidi ya kuwa mlevi yaani watu hawana cha zaidi ya kukaa kwenye baaa kunywa wee kisha haooo wanaenda kumungunyuana

I have learnt to lower my expectation to the bottom low when trying to think about or live in my beloved country of Tanzania.For, everything comes shorthanded.

when you set your expectations so high you are inviting unnecessary tensions.

We are a deserved 3rd world country and here to stay for a long time..,so just enjoy the moment pal.
 
Aisee Amani GK, have you realized how these days the movie industry is dominated by horror movies? Twilight/ New Moon, The Fourth Kind, Paranormal activity, Cirque du Freak....yaani, mi huwa nashindwa kuchagua movie ya kuangalia kama nikienda cinema impromptu bila kujua kinachoonyeshwa.

Kaka acha tu maana hata 2012 sijui niiweke kundi gani? movie za siku hizi zimekaa kihorror horror tu! lakini its better to watch those kuliko kuangalia movie kama A 40 years old virgin.
 
LOL. Umenichekesha, jirani zangu watadhani nimepagawa. Umeangalia "Couple's retreat"? Ya kijinga! Sikujua, nikaenda kuicheki na rafiki yangu mmoja, ila it has a few good laughs in some parts.

Kuna hii "Law abidng Citizen" ya Jamie Foxx...I might go check it out.

2012 is just totally apocalyptic...based on some Nostradamus predictions and the fact that the Mayan calendar does not go beyond the year 2012. I will not even bother watching it. Inamfaa BluRay :D
 
Mkuu Injinia Law abiding citizen sijaicheki bado ila ntaenda icheki tu maana wadau wanasema its a nice movie! 2012 iko too fake mkuu I have watched it it's a movie to watch just once.
 
Back
Top Bottom