supu ya nguruwe
Member
- Sep 27, 2017
- 7
- 12
Jaman kuna ubishi umezuka apa.... Kati ya mlimani city na rock city mall ni lipi lenye thamani kubwa? Achilia ukubwa wa biashara na wingi wake,,,, dhamani ya sehemu izi mbili tu pekee.
ukweli mchungu,1.Thamani ya jengo Rock city Mall inathamani kuliko mlimani city.
2.Ukubwa Rockicity Mall ni kubwa kuliko Mlimani city. ,3.Ubora, uzuri na mwonekano Rock city mall ni nzuri kuliko mliman city.
4. Uchangamfu was biashara mlina city kumechangamka kuliko rock city mall
je? wew unaijua vzr rock city mall au unatoa sifa za mcity bila kujua ya hyo ya rock city...Hiv mmefika mcity hiv karibun na kuona investment ya pale au mnaongelea mkiwa huko kolomije,?hiv kuanzia gate1 ile ya njia ya survey had uje gate ya huku kwenye kumbi za mikutano na harus na ofis za vodacom na nyuma kule kwenye apartments zile za kufa mtu,utasema mcity ni mall au city kabsaa.tatzo huyu jamaa mwenye uzi katoka kolomije kaingia mlango wa kwanza kapita kwenye maduka katokea mlango wa pil na samak samak kaiona anajua bas mcity ndo imeishia hapo..rud tena mjomba
Hivi ujasiri wa kutusi wazo la mtu huwa mnautoa wapi?acha kuiringanisha mlimani city na vitu vya kipumbavu
Hivi unajua mlimani city inaanzia wapi na kuishia wapi?1.Thamani ya jengo Rock city Mall inathamani kuliko mlimani city.
2.Ukubwa Rockicity Mall ni kubwa kuliko Mlimani city. ,3.Ubora, uzuri na mwonekano Rock city mall ni nzuri kuliko mliman city.
4. Uchangamfu was biashara mlina city kumechangamka kuliko rock city mall