Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

Tuache utani.. Unless mtu hujawahi kufanya manunuzi kwenye hizo malls mbili. Rock City Mall ipo so limited.. Mfano: Mtu unahangaika mall nzima kutafuta nguo na viatu vya watoto, halafu wauzaji wa humo wanakuelekeza uende Salma Cone utapata nguo nzuri.
Shiiit!!!
Acha uwongo ww.... Maduka ya nguo na viatu ndo mengi mule.... May be you had a tight budget coz gharama zenyewe zipo juu.
 
Hoja siyo ukubwa wa ki MSTATIRI AU MRABA, Hoja ni structure au ramani yake na mwonekano katika uzuri wa mjengo. Unaweza jenga nyumba ya vyumba 7 kama darasa , lakini akatokea mwingine akajenga vyumba 3 akakupoteza kabisaa katika appearance. Hivyo Rock city mall ni nzuri kuliko Mlimani city.
Kwan nilivyosema hivyo ww umenielewa vipi?
 
Acha uwongo ww.... Maduka ya nguo na viatu ndo mengi mule.... May be you had a tight budget coz gharama zenyewe zipo juu.

Inaweza ikawa zipo nyingi kwa level zako.. Naingiaga pale mara nyingi sana.. Natafuta options tofauti tofauti kama ninazozipataga Mlimani City..
Rock City pako very limited aisee!
Kuhusu budget tusiliongelee kwasababu siyo sehemu ya mada.
 
acha kulinganisha mall (rock city mall) na ghala la nafaka (mlimani city)

Ucha ushamba basi naona hujui maana ya mall kabisa na kama wewe ungekuwa umetoka hata nje ya Mwanza ungejua kweli Rock city mlichemsha yaan ngazi kila upande hajui jinsi mall zinatakiwa kuwa?
 
Inaweza ikawa zipo nyingi kwa level zako.. Naingiaga pale mara nyingi sana.. Natafuta options tofauti tofauti kama ninazozipataga Mlimani City..
Rock City pako very limited aisee!
Kuhusu budget tusiliongelee kwasababu siyo sehemu ya mada.
Kwanza ww ni unatudanganya.... Eti uliambiwa uende salma cone... Kwan na huko wanauzaga nguo😂
 
Ucha ushamba basi naona hujui maana ya mall kabisa na kama wewe ungekuwa umetoka hata nje ya Mwanza ungejua kweli Rock city mlichemsha yaan ngazi kila upande hajui jinsi mall zinatakiwa kuwa?
Hapa penyewe niko nje ya Mwanza sasa sijui unaongea upuuzi gani huo, wewe unayejifanya unajua maana ya mall hayo magodauni ya hapo mwenge ndo unaona mall!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forum mods kuweni makini na wachangiaji kama sexer, ikibidi muwafungie wanajaribu kupandikiza chuki za ukabila. Au na nyinyi mna mlengo huo.

Nyerere aliwahi kusema hivi vi nchi vidogo vidogo mnazungumza ukabila.
 
Back
Top Bottom