Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

1.Thamani ya jengo Rock city Mall inathamani kuliko mlimani city.
2.Ukubwa Rockicity Mall ni kubwa kuliko Mlimani city. ,3.Ubora, uzuri na mwonekano Rock city mall ni nzuri kuliko mliman city.
4. Uchangamfu was biashara mlina city kumechangamka kuliko rock city mall
 
Hiv mmefika mcity hiv karibun na kuona investment ya pale au mnaongelea mkiwa huko kolomije,?hiv kuanzia gate1 ile ya njia ya survey had uje gate ya huku kwenye kumbi za mikutano na harus na ofis za vodacom na nyuma kule kwenye apartments zile za kufa mtu,utasema mcity ni mall au city kabsaa.tatzo huyu jamaa mwenye uzi katoka kolomije kaingia mlango wa kwanza kapita kwenye maduka katokea mlango wa pil na samak samak kaiona anajua bas mcity ndo imeishia hapo..rud tena mjomba
 
To be specific: Rocky city mall ni mbaya kwa ndani
Ina fremu, mingazi, na malumalu za ajabu ajabu
Ila architecture ya nje iko poa sana, ingawa bado haijaifunika ya Mlimani City
 
Hiv mmefika mcity hiv karibun na kuona investment ya pale au mnaongelea mkiwa huko kolomije,?hiv kuanzia gate1 ile ya njia ya survey had uje gate ya huku kwenye kumbi za mikutano na harus na ofis za vodacom na nyuma kule kwenye apartments zile za kufa mtu,utasema mcity ni mall au city kabsaa.tatzo huyu jamaa mwenye uzi katoka kolomije kaingia mlango wa kwanza kapita kwenye maduka katokea mlango wa pil na samak samak kaiona anajua bas mcity ndo imeishia hapo..rud tena mjomba
je? wew unaijua vzr rock city mall au unatoa sifa za mcity bila kujua ya hyo ya rock city...
 
1.Thamani ya jengo Rock city Mall inathamani kuliko mlimani city.
2.Ukubwa Rockicity Mall ni kubwa kuliko Mlimani city. ,3.Ubora, uzuri na mwonekano Rock city mall ni nzuri kuliko mliman city.
4. Uchangamfu was biashara mlina city kumechangamka kuliko rock city mall
Hivi unajua mlimani city inaanzia wapi na kuishia wapi?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom