Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

Mlimani cty huwez kuiringanisha na vitu vya mkoani,rockcty mall ya kawaida tokana na biashara za ndani bdo mno watu wa huku hawajajanjuruka kabisa
 
Hiv mmefika mcity hiv karibun na kuona investment ya pale au mnaongelea mkiwa huko kolomije,?hiv kuanzia gate1 ile ya njia ya survey had uje gate ya huku kwenye kumbi za mikutano na harus na ofis za vodacom na nyuma kule kwenye apartments zile za kufa mtu,utasema mcity ni mall au city kabsaa.tatzo huyu jamaa mwenye uzi katoka kolomije kaingia mlango wa kwanza kapita kwenye maduka katokea mlango wa pil na samak samak kaiona anajua bas mcity ndo imeishia hapo..rud tena mjomba
Hahahahaha arudi tena sio
 
1.Thamani ya jengo Rock city Mall inathamani kuliko mlimani city.
2.Ukubwa Rockicity Mall ni kubwa kuliko Mlimani city. ,3.Ubora, uzuri na mwonekano Rock city mall ni nzuri kuliko mliman city.
4. Uchangamfu was biashara mlina city kumechangamka kuliko rock city mall
kweli wewe Msema yote
 
Wengine siyo wasukuma, sema mliman city ina jina kubwa na uchangamfu wa biashara, tatizo hamtak ukweli, by the way mm mwenyeji wa Tabata kimanga lakini penye ukweli lazima tukubali kuna maeneo mikoani pako vyema kuliko dar
hata mm mwenyeji wa sinza lkn i stand with rock city mall.
 
Sema city mall pamedoda wamejaa watu waliokuja kushangaa jengo wengi wao watoto biashara bado hazijachangamka Kwa t hamani ya jengo na ukubwa city mall n kubwa
 
naona vikabila vidogo (majogoli) siku hiz vimeungana dhidi ya kabila kubwa (kabila dume) wasukuma. chapa ng'ombe wasukuma ndo tunawatawala mtake msitake. MAGU anawalimisha kwa meno, General mabeyo anawalambisha kwata, makonda ndo mwanaume anayejiamini dar mateja hofu tupu, na jirani yetu wa mara Sirro yeye ni kutupia hivyo vikabila vidogo nyuma ya nondo, humu JF Paschal Mayala nae anatawala jukwaa. Na bado, tumeingia hivi ndo hatutoki tena, yaani inatoka chapa ng'ombe inaingia chapa ng'ombe.
 
Mlimani city kwakweli ni kukubwa maana inaanzia huku survey na kwenda mbele mpaka ofisi za voda yote ile ni mlimani city, halafu thamani ya ardhi kwa Dar hauwezi kuilinganisha na thamani ya ardhi ya mwanza...jamani washamba wahuko eleweni tu kua Dae ndo reference yenu kwenye kila kitu, naskia mcity wana extend mbele zaidi unaweza kuta mwenye rock city mall alipata wazo la hio mall baada ya kupaona mcity...
 
naona vikabila vidogo (majogoli) siku hiz vimeungana dhidi ya kabila kubwa (kabila dume) wasukuma. chapa ng'ombe wasukuma ndo tunawatawala mtake msitake. MAGU anawalimisha kwa meno, General mabeyo anawalambisha kwata, makonda ndo mwanaume anayejiamini dar mateja hofu tupu, na jirani yetu wa mara Sirro yeye ni kutupia hivyo vikabila vidogo nyuma ya nondo, humu JF Paschal Mayala nae anatawala jukwaa. Na bado, tumeingia hivi ndo hatutoki tena, yaani inatoka chapa ng'ombe inaingia chapa ng'ombe.
huyu nae wa wapi!kaaaah
Ushamba mzigoooooo
 
Back
Top Bottom