Mlevi mwenye confidence.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
(MGAMBO)>:Aroo,kwanini unakunywa gongo mchana mchana tena hadharani?,hii nchi ya babako? (MLEVI)>:Na wewe kwa nini unanifokea mchana mchana tena hadharani,hii nchi ya babako? (MGAMBO)>Mh! si bure,mbona anajiamini namna hii,ngoja nimwache niondoke zangu,asije akawa mtoto wa mtu mzito serikalini.
 
Mfano huu ni allegory ya namna watu wa dola wasivyojiamini katika utendaji wao na jinsi wakubwa wanavyougua maradhi inaitwa NEPOTISM:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom