Tripple MM
JF-Expert Member
- May 31, 2023
- 608
- 886
..unamaanisha nini mkuu?Mtu mweusi ni binaadamu ambaye bado hajakamilisha process ya ukuaji na kuwa binaadamu kamili. Dunia ingekua imejaa watu weusi sidhani kama leo tungekuwa na kitu kiitwacho teknolojia
..aah wp ni mpuuzi tu flaniBila shaka wewe ni muislamu.
Haiondoi maana ya choo hata unajisaidia umelalaWe choo unachukuliaje? Au unadhani kila mtu anatomia choo cha kulenga kuchambia gunzi
Chooni ni sehemu ya kustarehe kidogo
So unajisaidia kwenye kopoBado unatumia tundu la choo?tafuta sana Hela.......
hivo ndo vyoo shetani wanaishi humo!Achana nalo litatuongezea stress tu!nakumbuka nikiwa na 9yrs nilisafiri kwenda Namtumbo,kuingia chooni nakuta vigunzi kibao,halafu shimo lenyewe limejengwa na miti miti halafu limekaa Kuna mafinyofinyo nilitoka ndukiii sana,nilishindwa kujisaidia
Choo ni choo tume nadhani hii ni kwa ajili ya vile vyoo vya kulenga vyenye mabanda ya nyasi ndo shetani anaweza kuwa humo..
Siku hizi Hatutumii Matundu ya Choo mzee..Epuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo.
Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni.
Usipende kuongea chooni/bafuni.
Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni.
Usichezee nyeti zako chooni/bafuni.
Ni heri kufuata lililo kupeleka bafuni/chooni kisha ukatoka.
Ina madhara mengi na imearibia watu wengi maisha yao sio kinyota bali hata kiafya.
Madhara yake nikama...
-maneno yako hayatasikilizwa na yeyote yule hata awe mtu wa karibu nawe utashangaa kukuepuka.
-hutokuwa na uwezo wa kumshawishi mtu yeyote yule kwa jambo lolote.
-kinywa chako kitakuwa kama choo kila usemalo litakuwa chafu na la kuchukiza kwa waja.
-hutezwa sikilizwa haja zako wala kupata usaidizi.
Chooni kuna viumbe wabaya walio fanya chooni/ bafuni kama makaazi yao na ndiyo maana kuna adabu za kuingiliwa chooni.
Kwaiyo ni vizuri kuto tema tema mate, kutoongea ovyo ovyo. Na kuchezea nyeti zako chooni/ bafuni unatamanisha majini kama vile jini mahaba, na wengi walio na jini hili eidha ni kutupiwa ama kusababishwa na kuchezea nyeti ovyo ovyo chooni/ bafuni.
Jiulize kwa nini wagonjwa wengi wa kupooza wengi wao wanaanguka chooni?
Pamoja nakuwa kuna mambo ya kichawi ila asilimia kubwa ya wanao anguka chooni na kupooza ama wengine kufikia chanzo cha kifo chao ni sababu ya majini wabaya chooni/ bafuni.
Kaa ukijua bafuni sio sehemu ya kuchezea haswa kama umzazi mchunge sana mtoto wako kwenda chooni pekee maana hujui ni majini gani yanayo mgonjea humo.
Usiteme mate hovyo !!!
Dakika 30!?Mm nikiingia chooni ni lazima niwe na simu na hua sio chini ya dkk 30 ndo natoka.
Nikifafanua utashindwa kabisa kuelewa..unamaanisha nini mkuu?
Kama hujaelewa ninachomaanisha, tafuta sana helaSo unajisaidia kwenye kopo
Asipokuelewa hapa ,atafute MwanasaikolojiaMy friend,angalia vizuri hiyo afya ya akili ni nani achekiwe either you or I....Achana na imani potofu bro.....watu wanaumwa pressure,wanaingia bafuni wanainama na kujimwagia maji ya baridi mwili unapata mstuko,wanaanguka,Kwa ajili ya high blood pressure anatoka damu masikioni na puani mishipa imepasuka nyie mnasema katupiwa jini!acha Hizo mambo....
Kuna wakati unapiga code, af full of syntax errors, unaingia chooni unajimwagia maji unawaza ghafra unapata jibu.
I solve much of my computer issue there,
Hapana choo ni mlango wa kuzimu
I speak from my experience