Mkwawa, Kinjekitile, Abushiri na Mirambo: Biashara ipi iligharamia vita? Nini malengo ya vita zao?

Labda tusaidiane kidogo kuweka rekodi sawa,kwanza na declare sina interest na dini yoyote zilizoletwa na wageni, haya turudi kwenye mada sasa, ni hivi katika suala la biashara ya utumwa,uislamu au dini ya kiislamu imehararishwa hadi kwenye kitabu chao,na waliochangia kukomesha biashara ya utumwa na wamissionari wa kikristo,waislamu hawakupendezwa na hili na pamoja na kwamba ilishapigwa marufuku waarabu na waarabu weusi waliendelea na biashara hii kinyemela...utumwa umemdhalilisha sana mtu mweusi kiasi kwamba leo hii tuko hivi kwa sababu ya utumwa pamoja na kwamba kuna sababu zingine zimechangia.

Unaweza kuongezea nyama kidogo kwenye maelezo yako..kwa kutuwekea kuhalalishwa huko katika quran..ili tuweke kumbukumbu sawia?!....

na hii biashara haramu ya utumwa mzunguko wake ulikuwaje?...ilikamilika vipi?...nikiwa na maana nani alikua mtafuta bidhaa,soko,muuzaji na mnunuzi?......

maana mara nyingi naona watu huishia katika ile sehemu ya waarabu kununua watumwa africa lakini hatuongelewi waarabu waliwapeleka wapi hawa watumwa....

Tafadhali..
 
Unaweza kuongezea nyama kidogo kwenye maelezo yako..kwa kutuwekea kuhalalishwa huko katika quran..ili tuweke kumbukumbu sawia?!.... na hii biashara haramu ya utumwa mzunguko wake ulikuwaje?...ilikamilika vipi?...nikiwa na maana nani alikua mtafuta bidhaa,soko,muuzaji na mnunuzi?...... maana mara nyingi naona watu huishia katika ile sehemu ya waarabu kununua watumwa africa lakini hatuongelewi waarabu waliwapeleka wapi hawa watumwa.... Tafadhali..
haha....mssifikie huko.Ila unasemaje kuhusu mateka wa vita waliokataa jisalimisha?Ndicho mkwawa alitumia km msingi wake wa kuwateka makabila ya jirani kwa kuwapiga vita,akiwashinda anawachukua wanaume wao na kuwauza.
 
Jamani tupeni shule ys magamba kumbeee istoria yap ndefu eeh
Historia yetu inasema kuna waafrica walioshiriki hizo biashara,ila haisemi ni akina nani ktk nchi hii, historia inasema Abushiri alikuwa tajiri mfanya biashara mkubwa aliyekuwa chotara wa kiarabu na kiafrica aliyepigana bega kwa bega na waafrica ila hawajawahi sema alikuwa akifanya biashara gani.Hii ndio historia isiyo kamilikamili.
 
haha....mssifikie huko.Ila unasemaje kuhusu mateka wa vita waliokataa jisalimisha?Ndicho mkwawa alitumia km msingi wake wa kuwateka makabila ya jirani kwa kuwapiga vita,akiwashinda anawachukua wanaume wao na kuwauza.

Kusema ukweli...katika biashara hii haramu, pande zote tatu hazikimbii lawama...

1. Machifu (waafrika)
2. Wachuuzi (waarabu)
3. Wanunuzi (Wazungu)

Kila upande ulicheza upande wake katika kutimiza biashara hiyo haramu..
 
Kusema ukweli...katika biashara hii haramu, pande zote tatu hazikimbii lawama... 1. Machifu (waafrika) 2. Wachuuzi (waarabu) 3. Wanunuzi (Wazungu) Kila upande ulicheza upande wake katika kutimiza biashara hiyo haramu..
Waarabu na wazungu hawakuuziana watumwa kihivyo..na wazungu waliacha mapema zaidi..waarabu hadi leo wanauza watumwa kwao na africa, km ilivyo kwa sahara magharibi,sudan , Qatar etc.Wote walikuwa na chain nzima kuanzia waokotaji,wachuuzi, wanunuzi .Waafrica walichomekwachomekwa...
 
Mzee hawa wanaovaa ibakuli vichwani wakikuambia mtu ni mtu mzuri,sijui ni shujaa,sijui ni mtetezi wa haki za watu..ujue alikuwa anafanya kwao na hivyo wao kuona kuwa ni sahihi.Wayao wamalawi wanawajua na kuwachukia sana..walikuwa wanakwenda kule kuwashika km swala..akina kinje walikuwa matajiri weusi enzi zile.....wamanyema hadi leo utawasikia dar wana sound tofauti na walijitengea kinamna..ila baada ya kufa utumwa..waliishi kimalaya zaidi na kuandika historia wanavyotaka.Abushiri na mirambo ni shida...ukiweza soma vyema mikataba na historia za wamissionary na hao jamaa utaona walidocument vizuri sana utumwa na hawa jamaa...na jinsi hawa jamaa waivyokuwa akivunja mikataba.

Unachoongea kina ukweli ndani yake kinje alijilimbikizia mbali sana mcheki huyu mjukuu wake alivyokuwa na hela
Pia colour naona ni mixer na waarabu wale hapo ndio nazidi kupata picha.
 
Waarabu na wazungu hawakuuziana watumwa kihivyo..na wazungu waliacha mapema zaidi..waarabu hadi leo wanauza watumwa kwao na africa, km ilivyo kwa sahara magharibi,sudan , Qatar etc.Wote walikuwa na chain nzima kuanzia waokotaji,wachuuzi, wanunuzi .Waafrica walichomekwachomekwa...

Unaposema waarabu na wazungu hawakuuziana watumwa kihivyo unamaanisha nini?...

tunaweza kuona masalia ya utumwa zaidi katika mataifa ya wazungu kuliko mataifa ya waarabu...

Tunaweza pata idadi ya watumwa ambayo wazungu walinunua kabla ya hawajasitisha hiyo biashara..binafsi sidhani kama wazungu walisitisha sababu ya "utu" isipokua ni katika kukomoana kiuchumi maana waarabu tangu na tangu uchumi wao unategemea biashara zaidi na katika kipindi hicho biashara iliyokua hot ni utumwa. Sababu mataifa ya ulaya yalihitaji zaidi manpower ambayo itakua cheap katika kuendeleza mashamba yao ambayo yalikua ndy utegemezi mkubwa kabla ya kuingia kwa industrialization huko kwao..

Nitabaki katika mstari wangu..hakuna anaekwepa lawama hizo...maana aneiba,anaehifadhi mzigo wa wizi,anaenunua mzigo wa wizi wote wako hatiani
 
Unaposema waarabu na wazungu hawakuuziana watumwa kihivyo unamaanisha nini?... tunaweza kuona masalia ya utumwa zaidi katika mataifa ya wazungu kuliko mataifa ya waarabu... Tunaweza pata idadi ya watumwa ambayo wazungu walinunua kabla ya hawajasitisha hiyo biashara..binafsi sidhani kama wazungu walisitisha sababu ya "utu" isipokua ni katika kukomoana kiuchumi maana waarabu tangu na tangu uchumi wao unategemea biashara zaidi na katika kipindi hicho biashara iliyokua hot ni utumwa. Sababu mataifa ya ulaya yalihitaji zaidi manpower ambayo itakua cheap katika kuendeleza mashamba yao ambayo yalikua ndy utegemezi mkubwa kabla ya kuingia kwa industrialization huko kwao.. Nitabaki katika mstari wangu..hakuna anaekwepa lawama hizo...maana aneiba,anaehifadhi mzigo wa wizi,anaenunua mzigo wa wizi wote wako hatiani
Wazungu waliouziwa kwa waarabu walikuwa wamisionari ambao waliwaachia huru .Otherwise walikuwa wapinzani ktk kila kitu kiutamaduni, kiimani,na hata kimatabaka ya rangi.Hadi Leo wanashirikiana tuu basi ila wazungu na waarabu si marafiki kihivyo bado wanaviziana.Waarabu waliwahi pia kuwatumikisha wazungu haswa wanawake.Wazungu waliwachukua kwa route yao tofauti.
 
Vipi kuhusu Trans-Atlantic Slave Trade ambayo ilikuwa kutoka karne ya 16 mpaka 19...iliyochukua watumwa wa Kiafrika kati ya 11 mil hadi 20 mil....

ni kweli usemayo hao jamaa waliotuchezesha "unyago wa kima" kuwa wao wenyewe wanaviziana tu...ndy maana mwanzo nikasema hata hiyo abolition ya slave trade ilikua na lengo mahsusi zaidi kuliko tulivyoaminishwa...

Waswahili tunasema adui muombee njaa..sasa waliamua kuzima biashara anayotegemea mwenzie ili kumdhoofisha...ukitaka kujua hili we jikumbushe nini kilifata baada ya "umishionari"...maana na yenyewe ilikua ni hatua tu mojawapo kufikia lengo..
 
Vipi kuhusu Trans-Atlantic Slave Trade ambayo ilikuwa kutoka karne ya 16 mpaka 19...iliyochukua watumwa wa Kiafrika kati ya 11 mil hadi 20 mil.... ni kweli usemayo hao jamaa waliotuchezesha "unyago wa kima" kuwa wao wenyewe wanaviziana tu...ndy maana mwanzo nikasema hata hiyo abolition ya slave trade ilikua na lengo mahsusi zaidi kuliko tulivyoaminishwa... Waswahili tunasema adui muombee njaa..sasa waliamua kuzima biashara anayotegemea mwenzie ili kumdhoofisha...ukitaka kujua hili we jikumbushe nini kilifata baada ya "umishionari"...maana na yenyewe ilikua ni hatua tu mojawapo kufikia lengo..
Sikatai wazungu walifanya, ila hawakufanya kwa kushirikiana na waarabu,kila mtu alikuwa akitaka bidhaa kwa soko na manufaa yake ambayo alitaka yampe nguvu ya kumzidi mwingine.Abolition of slave ilifanywa na watu wengi kwa nia mbalimbali..Baada ya mabadiliko mahitaji yalipunga na hivyo kuwa liability kwao...wapo wazungu dini iliwasukuma kupiga vita utumwa...UK Askofu wa Anglican aliwahi mwambia Padri wake asiache ubunge kwa vile anaudhika sana utumwa unaoendelezwa na serikali,akaambiwa wanatakiwa kuongezeka ili baadae wapige kura ya kuzuia hiyo biashara na kuitaka serikali ijishughulishe kupinga kupitia majeshi,wapo wazungu wengine walishaona shida ya weusi kujazana ulaya kwani wengi walizaana sana,na mbaya walikuwa wakipendwa sana na wanawake wa kizungu waliokuwa na uhuru wa kuwaona wakiwa uchi au hata kuwachezea, wapo walioona kwamba kule kwao hakuwezi kuwa na mashamba ya kila kitu kutokana na udogo wa ardhi na hali ya hewa..hivyo mashamba yakafunguliwa ktk nchi walizotoka watumwa.Kwa waarabu walikuwa na case tofauti,na solutions tofauti pale hao watu weusi walipokuwa kwao.Huo mchanganyiko ndio ulikuwa sababu na mchango wa uhuru wa mtu mweusi kuanza pata kasi.Pia walipoanza pigana vita wao kwa wao na kuona uhitaji wa askari weusi.Hii ilipelekea kutaka imani yao kwa kuwapa uhuru na thamani ili kuweza pata uaminifu wao.Wengine kuwa watendaji ktk dini na hivyo kuanza ongeza idadi ya walio huru ktk weusi.
 
Yaah...ni kweli...ila hawa jamaa katu tusiamini kuwa wanataka mtu mweusi awe huru...hasa uhuru wa fikra
 
Yaah...ni kweli...ila hawa jamaa katu tusiamini kuwa wanataka mtu mweusi awe huru...hasa uhuru wa fikra
uhuru tusipoudaia,na kuulinda kwa akili ni misimamo tutatumikishwa,kila binadamu anavutiwa kumnyonya mwingine ,ila kwa vile sisi ni raisi sana kuchangwanya huwa hatuchelewi toa sababu za kijinga za kuchagua bwana mkubwa wa kututawala na si kugombania uhuru.Historia hizi z z akijnga wameandikaw ajinga tunaowaita wasomi walio bobea,andio akina shivji leo upinzani wa nchi hii umewavua n nguo kabisa.Kazi za hawa jamaa ni kupumbaza watz.
 
Kwanini hupendi wafikie huko mkuu....??!!..
"]haha....mssifikie huko.Ila unasemaje kuhusu mateka wa vita waliokataa jisalimisha?Ndicho mkwawa alitumia km msingi wake wa kuwateka makabila ya jirani kwa kuwapiga vita,akiwashinda anawachukua wanaume wao na kuwauza.[/QUOTE]

Kwanini hupendi wafikie huko mkuu....??!!..
 
Huwa najiuliza,
'
Unapoomuuza binadamu mwenzako unakua unafikiria nini?

Utumwa ulikuwa mfumo wa kiuchumi kama ulivyo ubepari leo hii na takribani jamii zote za wanadamu zilipitia mfumo huu. Usishangae sana.
 
Bahati nzuri unaona hawa mashujaa uliowataja wanatokea maeneo yaliyozunguka hifadhi za tembo na nyara na walitawala kipindi cha biashara ya utumwa imeshamiri. Ukiunganisha dots na anayetuhumiwa kukutwa na bunduki 11 katika karne ya 21 ni wazi inaweza kujibu hoja yako hii!
Lakini mimi nilivyosoma ni kwamba Mkwawa na Mashujaa wa Majimaji walipigana na Wajerumani ambao ni sehemu ya waliopiga marufuku biashara ya utumwa.
Wanabodi si mbaya tukiangalia kwa makini hao mashujaa wetu na wapigania uhuru tunaoambiwa na historia ktk vitabu vyetu:

-Historia haisemi vyema sana hawa jamaa walifanya biashara gani ya kuwapatia hela za kugharamia vita.

-Pia historia haisemi malengo makuu ya hizo vita,na maadui wakuu walikuwa akina nani.

-Pia historia haisemi vyema majina yao na imani zao na vipawa vingine walivyokuwa nao hawa mashujaa tunaowambia na utaalamu wao kisiasa na kijeshi.
 
Utumwa ulikuwa mfumo wa kiuchumi kama ulivyo ubepari leo hii na takribani jamii zote za wanadamu zilipitia mfumo huu. Usishangae sana.
Ni binadamu gani tofauti ma mweusi aliwahi kuchukuliwa kutolewa eneo moja kwenda lingina na kuuzwa?
 
Ni binadamu gani tofauti ma mweusi aliwahi kuchukuliwa kutolewa eneo moja kwenda lingina na kuuzwa?

Nabii Yusuf aliyeuzwa na ndugu zake akida Yuda, Simioni, Livai, Yehutha na wengineo na kupelekwa utumwani Misri alikuwa mtu mweusi?
 
Back
Top Bottom