Mkwawa, Kinjekitile, Abushiri na Mirambo: Biashara ipi iligharamia vita? Nini malengo ya vita zao?

Nabii Yusuf (AS) hakuwa mtu mweusi. Alikuwa ni Myahudi wa Kaanani na baba yake alikuwa Nabii Yakub ambaye ndiye mwasisi wa kabila la Israel (AS).
Naona umeishia tu kusema hakuwa mtu mweusi bila hata kusema ni kwanini unasema hakuwa mtu mweusi......

Mimi nimekueleza kuwa likuwa mtu mweusi,Wayahudi walikuwa weusi,Waisraeli walikuwa weusi,Ibrahimu alikuwa mweusi n.k.....

Nitakupa swali dogo sana,Je, Wamisri kabla ya ukoloni walikuwa watu wa rangi gani?
 
Toa ushahidi kuwa walikuwa watu weusi maana na wewe naona unakomaa tu bila kusema kwanini walikuwa watu weusi.
 
Toa ushahidi kuwa walikuwa watu weusi maana na wewe naona unakomaa tu bila kusema kwanini walikuwa watu weusi.
Nilijua tu utakuja huku....

Ndiko ninakoelekea huko,jibu swali langu halafu nitakupa jibu la hilo swali lako maana kuna uhusiano kati ya jibu la swali langu na swali lako....

Wamisri kabla ya kuja ukoloni walikuwa wana rangi ipi?
 
Ningependa jua tena ushujaa wa hawa tunaoaambiwa ni mashujaa.Hata leo nimemsikia Kingunge akiwaongelea.Bahati nzuri kasema nilichowahi sena hapa...ALIWAPIGA WAJERUMANI WAKAKIMBILIA DAR,WAKARUDI NDIO WAKAWASHINDA...Mzee km alikuwa hajui anachoongea,Mkwawa na wenzie waliwapiga wamisionary waliojaribu zuia biashara ya utumwa,wamaissionary walipokwenda shitaki ktk serikali ya kikoloni wakaja askari na kuwashinda hawa wauza watumwa?Swali nililopenda uliza KWANINI KINJE NA MKWAWA HAWAKUITWA MAJINA YAO YA KIGENI NA utangulizi wao?
Kwa sababu walikua waislam
 
Ni binadamu gani tofauti ma mweusi aliwahi kuchukuliwa kutolewa eneo moja kwenda lingina na kuuzwa?
Waarabu waliwauza wahispania na mateka wengine wa kizungu kipindi wakiwa ktk peak ya nguvu.
 
Hawa walikuwa ni mateka wa kitu gani mkuu?
Spain iliwahi tawaliwa zaidi ya miaka 500 na waarabu ikawa nchi ya kiislam kuliko sudan.Spain ilijikomboa ktk vita inayojulikana km spanish inquisition .Pia pirates wa baharini na vita za wamisionari wanawake wa kizungu walishikwa na kuuzwa uarabuni.
 
Unachoongea kina ukweli ndani yake kinje alijilimbikizia mbali sana mcheki huyu mjukuu wake alivyokuwa na hela
Pia colour naona ni mixer na waarabu wale hapo ndio nazidi kupata picha.
mjukuu wake ni yupi na anafanya/alikua shughuli gani hapa Tanzania
 
The issue ni kwamba wanangu nawaepusha sana na hizi elimu za bongo.
 
Wanabodi si mbaya tukiangalia kwa makini hao mashujaa wetu na wapigania uhuru tunaoambiwa na historia ktk vitabu vyetu:

-Historia haisemi vyema sana hawa jamaa walifanya biashara gani ya kuwapatia hela za kugharamia vita.

-Pia historia haisemi malengo makuu ya hizo vita,na maadui wakuu walikuwa akina nani.

-Pia historia haisemi vyema majina yao na imani zao na vipawa vingine walivyokuwa nao hawa mashujaa tunaowambia na utaalamu wao kisiasa na kijeshi.

Tunaomba "citation" ya vitabu ulivyosoma kuhusu hao uliowataja.
 
Tunaomba "citation" ya vitabu ulivyosoma kuhusu hao uliowataja.
Faiza usinifanye mimi mtoto sijui shida unayopata kisaiikologia na upana wa saikologia yenu. Nikikuletea hapa utaanza kataa uzito wa hizo citation. But what if it was my personal research and credible?Utakuwa n aujasiri wa kunikubali mimi na utafiti wangu? Je una mbinu mbadala za kuweza pima utafiti wangu kabla ya kuukataa au kuukubali?
 
Nani alikuwa scum?we nani unawatukana mashujaa Wa majimaji,kama unataka historia kwa nini usituulize tunaotoka mikoa hiyo?

Kwa taarifa yako sisi ndio wajukuu wa majimaji
Kwani kuwa wajuu zao ndio kujua au kuwa tayari kuface reality? Waafrica wangapi waliweza kiri hadharani shida kwamba wana makosa linapokuja suala la rangi, dini, au makabila.

Km for years hujawahi jiuliza maswali mazito vile vikamptula mnavyowavalisha wahehe na kuwadanganya ni utamaduni wao, inakwenda sawia na maadili ya kidini au hata ya kisomi. Utapata wapi maadili leo ya kuwa mkweli hapa kwa kiasi cha kuondoa ,tonge linalowapa urahisi wa maisha?
 
Tunaposema wajukuu naomba uelewe tumepewa hadithi za hii vita na sababu za wao,kwa maelezo ya babu ambaye alikuwa mdogo kipindi hicho,wazungu walianzisha mashamba ya pamba halafu wakapiga marufuku shughuli zozte za uchumi ikiwemo kulima kwenye mashamba yao wenyewe,hivi unadhani ni haki?

Sio makabila yote yaliingia kwenye vita vya majimaji kwa sababu walikuwa wanauza watumwa naomba uelewe hilo
 
Nilidhani hata una hoja ya maana kumbe unathibitisha ,niliyosema ni kweli kuwa ktk familia hakukupi automatic understanding ya ukweli. Pia story zenu ktk familia zote zitakuwa na itazamo ya ndani, na hata baada ya muda story nazo zitakimbilia kuisafisha familia ili kuendana na matamanio ya wanahistoria wenye hila wa hii nchi.

Ukweli ni kwamba sababu zako za vita ya majimaji na hata za mkwawa, ni sababu no mbili. Ni kawaida kwa vita yoyote ikienda muda mrefu huwa sababu ya vita kuanza mezwa na mambo mengi. Huo ukorofi wa wajerumani ktk kilimo(kudhibiti chakula na biashara) ulikuja baadae sana.Hizo sababu ziliwasaidia akina Kinje na Mkwawa kupata support na kujificha ktk kutetea watu.
 
Nani alikuwa scum?we nani unawatukana mashujaa Wa majimaji,kama unataka historia kwa nini usituulize tunaotoka mikoa hiyo?

Kwa taarifa yako sisi ndio wajukuu wa majimaji
Wewe mwehu kweli umeona tusi wapi?Akili ndogo kujilinda kwa kuweka hisia na kuplay victims hamjambo
 
Wewe mwehu kweli umeona tusi wapi?Akili ndogo kujilinda kwa kuweka hisia na kuplay victims hamjambo

Kwangu Mimi umenikosea kusema wote walioshiririki vita vya majimaji walikuwa wafanyabiashara wa utumwa,kulikuwa kuna makundi mbalimbali na sababu zao mbalimbali ,kuna wengine walingia kwenye vita vya majimaji kwa sababu wake zao na watoto wao wa kike walibakwa,wengine walikuwa wamenyanganywa maeneo yao ya kulima(mashamba),wengine walikuwa wahunzi,waashi,wasuka ukili nk wote walizuiwa kufanya shughuli.

Kulingana na mazingira hayo hapo juu ambayo wajerumani walitengeneza ili kuweza kupata manamba was kulima mashamba yao ili waweze kupata rupia kununua chakula na mahitaji mengine.nikukumbushe kipindi hicho wajeruman walikuwa ndio wanatengeneza mfumo au uchumi wa kikoloni kwahiyo ilikuwa lazima kuwazuia watanganyika wasifanye shuguli zingine na wawalazimishe kwenda kulima kwenye mashamba yao ya pamba. hii ilileta hasira Kali kwa wananchi na ndio walipojitokeza akina kinjekitile kuwaongoza wananchi.
 
usichojua wala kutaka kujua ni kwamba. Wajerumani waliamua kufanya collective purnishment kwa vile wadanganyika walikuwa nyuma ya hawa viongozi ingawa baadae walipoachwa nao waliendlea uzwa. Ni kuwa irrational km unavyojaribu kuwa hapa, umeset mind yako kuwatetea, ndio maana si rahisi kuwa mkweli hapa. Lets cut it shot...JE MKWAWA,KINJEKITILE, ABUSHIRI HAWAKUUZA WATUMWA?

Umeanza kimbilia kwamba nimekutukana,sasa hujaomba hata msamaha,kwa kuanza jialainisha km wabunge wa ccm.Wanapokuja hoja ngumu ya matendo yao ya aibu kuliko matusi.Wanadai wametukanwa as if hayo matusi hawajafanya kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom