Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Wanabodi si mbaya tukiangalia kwa makini hao mashujaa wetu na wapigania uhuru tunaoambiwa na historia ktk vitabu vyetu:
-Historia haisemi vyema sana hawa jamaa walifanya biashara gani ya kuwapatia hela za kugharamia vita.
-Pia historia haisemi malengo makuu ya hizo vita,na maadui wakuu walikuwa akina nani.
-Pia historia haisemi vyema majina yao na imani zao na vipawa vingine walivyokuwa nao hawa mashujaa tunaowambia na utaalamu wao kisiasa na kijeshi.